Hatujafanya chochote anataka nimtolee posa

Hatujafanya chochote anataka nimtolee posa

Huyu dem nampenda hatujafanya chochote anataka nimtolee
posa!!

Na hataki kutoa kabisa anasema mpaka Nimuoe mana hataki kuchezewa!!
Yani sielewi anasema wanaume akipata tu ngono hakutaki tena,,

Ukizingatia hali ngumu n.k

Nifanyeje.?
Yuko sahihi,angalia kama uko tayari umuoe,la sivyo unaweza kuongeza idadi ya single mother mtaani
 
Siku hizi umekuwa mwanaume
Umetupa sketi huko
Unajifanya na wewe unapumbu eti
Au ndiyo mambo yenu ya ushoga unaleta huku
 
Umekuja kuchukua mbinu za kumkula halafu baadae ndio nyie mnasenga hamuoi mwanamke asiye bikra?
 
Hivi ndo mtu kakuambia ina nylon ukaamua kuoa Kisha ukakuta sio unaweza shtaki kisheria urudishiwe gharama zako zote au Jumuiya haiingilii mapenzi maswala binafsi.
 
Kama nikweli hajaguswa mpekue bila kufanya chochote halafu mambo mengine yafuate
 
Back
Top Bottom