Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
teh teh teh
Kwani Putin elimu yake aliipata kwa Kiingereza? Kinachoshangaza hapa ni huyu kuwa na PhD aliyoisomea kwa lugha ya kiingereza lakini haijui. Aliandikaje Thesis yake? Dissertation yake ya master ya Kemia aliandikaje? Alipata degree ya kwanza kwa kutumia lugha ya kiingereza alikuwa anaandikaje kwenye paper zake? Huyu kasoma kuanzia form one hadi six na baadae chuo cha ualimu kwa kiingereza, alikuwa anafaulu vipi mitihani yake? Akiwa Mwalimu alikuwa anafundishia lugha gani? Haya maswali lazima yajibiwe maana tunachokiona kinasikitisha na sisi wengine tunaanza kuona kwa nini elimu yetu inashuka kila kukicha. Usiipuze lugha ya Malkia hata kidogo maana hii ndo hutumika kufundishia na kujifunza kwa ngazi zote za elimu aliyopita huyu mtu. Keisangora tusaidie kujibu maswali hayakwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Mkuu unajua Mungu ana makusudio yake. Hebu fikiria ingelikuwa lugha inapanda Na kauli Za mkuu Za kujibu lolote analotaka hivi sasa ingelikuwa tuna uhusiano mwema Na taifa gani?Kwani Putin elimu yake aliipa kwa Kiingereza? Kinachoshangaza hapa ni huyu kuwa na PhD aliyoisomea kwa lugha ya kiingerza lakini haijui. Aliandika Thesis yake? Dissertation yake ya master ya Kemia aliandikaje? Alipata degree ya kwanza kwa kutumia lugha ya kiingereza alikuwa anaandikaje kwenye paper zake? Huyu kasoma kuanzia form one hadi six na baadae chuo cha ualimu kwa kiingereza, alikuwa anafaulu vipi mitihani yake? Akiwa Mwalimu alikuwa anafundishia lugha gani? Haya maswali lazima yajibiwe maana tunachokiona kinasikitisha na sisi wengine tunaanza kuona kwa nini elimu yetu inashuka kila kukicha. Usiipuze lugha ya Malkia hata kidogo maana hii ndo hutumika kufundishia na kujifunza kwa ngazi zote za elimu aliyopita huyu mtu. Keisangora tusaidie kujibu maswali haya
kusoma kemia na sio english language.mtu anasoma anakuwa daktari na anatibu mgonjwa ila englisha hajui kuongea mana alipokuwa shuleni intention yake haikuwa kujifunza english tena spoken ila to acquire knowledge. mpe kazi ya kikemia afu ndo uhoji kama akishindwa kudeliver.Kwani Putin elimu yake aliipata kwa Kiingereza? Kinachoshangaza hapa ni huyu kuwa na PhD aliyoisomea kwa lugha ya kiingereza lakini haijui. Aliandikaje Thesis yake? Dissertation yake ya master ya Kemia aliandikaje? Alipata degree ya kwanza kwa kutumia lugha ya kiingereza alikuwa anaandikaje kwenye paper zake? Huyu kasoma kuanzia form one hadi six na baadae chuo cha ualimu kwa kiingereza, alikuwa anafaulu vipi mitihani yake? Akiwa Mwalimu alikuwa anafundishia lugha gani? Haya maswali lazima yajibiwe maana tunachokiona kinasikitisha na sisi wengine tunaanza kuona kwa nini elimu yetu inashuka kila kukicha. Usiipuze lugha ya Malkia hata kidogo maana hii ndo hutumika kufundishia na kujifunza kwa ngazi zote za elimu aliyopita huyu mtu. Keisangora tusaidie kujibu maswali haya
Kwelikusoma kemia na sio english language.mtu anasoma anakuwa daktari na anatibu mgonjwa ila englisha hajui kuongea mana alipokuwa shuleni intention yake haikuwa kujifunza english tena spoken ila to acquire knowledge. mpe kazi ya kikemia afu ndo uhoji kama akishindwa kudeliver.
Hiyo elimu ya kemia kaipata kwa lugha gani? Soma tasnifu yake ya maganda ya korosho, linganisha lugha aliyotumia na hii anayobomoka huku, vitu viwili tofauti mkuu, hapo lazima ukiwa na akili ujue kuna bashiiteism sehemu katika elimu yakekusoma kemia na sio english language.mtu anasoma anakuwa daktari na anatibu mgonjwa ila englisha hajui kuongea mana alipokuwa shuleni intention yake haikuwa kujifunza english tena spoken ila to acquire knowledge. mpe kazi ya kikemia afu ndo uhoji kama akishindwa kudeliver.
Mkuu umeongea vizuri. Mungu ana makusudi yake... Jamaa kampa fafafafafafa kwenye lughaMkuu unajua Mungu ana makusudio yake. Hebu fikiria ingelikuwa lugha inapanda Na kauli Za mkuu Za kujibu lolote analotaka hivi sasa ingelikuwa tuna uhusiano mwema Na taifa gani?
Frent Phojo... mkuu nimecheka sanaKwakuwa tayari Kichwa chake kimajaa mahasira na visasi hali hiyo ilisababisha kutokuwa na Ushirikiano kati ya neno husika na mdomo wake uliokuwa umenuna ndiyo maana ikapelekea yeye kuchapia huko. Alitaka kutamka front page ila akakosea na kutamka ' frent phojo ' halafu akajishtukia nwenyewe japo hadhira yote iliyokuwepo hapo ikauchuna bila kucheka kwa hofu na kutumbuliwa kwa kumcheka. Jamaa anatoa mno ' maboko ' sijui ni kwanini.
Kweli ni kuteleza kwa ulimi tu jamani ,hv kwa akili ya kawaida neno "Front page" ni gumu kiasi cha yeye kushindwa kulijua kwenye vocabulary za kiingereza ? Kwa hili jamani tusikuze mambo ,na hii inaweza kumtokea mtu yeyote yule hasa kama kuna kitu kimekukera!Slip of the tongue tu jamani, hiyo ni front page!!!!
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.