Hapa Mheshimiwa alikuwa anataka kusemaje?

Hapa Mheshimiwa alikuwa anataka kusemaje?

Hapo ni maneno mawili karibu atafune ulimi je ingekuwa sentensi nzima? Lazima mtu awe na hasira tu, lugha haipandi kabisa, uchumi ndio usiseme ni mweupe, ukija kwenye siasa ndio hovyo kabisa, ukija kwenye historia ndio yale ya Sadam Rais wa Kuwait, mara Rais wa world Bank ndio mara ya kwanza kuitembelea Tanzania, kwenye science nako mayolo rejea akiwa anaongea na kina kitwanga kuhusu mchanga!! Jamaaa hamna anachojua hata kidogo

Dah! Mkuu umenichekesha, Jf kiboko.
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Wacha Uongo Putin anaonge Lugha tano kwa Ufasaha
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Sasa angeongea kiswahili 2 mbwembwe za nn na lugha ya malkia
 
lol-face-frudtrated-clipart-1.jpg

Ha ha haa...! Kwa kweli hapa nimetoka kapa.

Sasa kwa nini anaing'ang'ania lugha ya watu kama ni mtupu kiasi hicho?​

Mkuu unajua hata mtu kama humpendi, usionyeshe hisia zako kwa kumdharau kwa kila kitu anachokifanya-Unakosa objectivity. Unaonekana ni kati ya wale sore losers. cry babies.

Hivi kweli na usomi wako unaweza mdharau Ngosha kwamba hajui kiingereza? Kama Rais hana budi kuiongea hata kama ni kwa shida kwa sababu mazingira yanamlazimu. Hata mimi na elimu yangu mpaka leo sidhani kama naongea kiingereza fasaha (na kuishi huko hii lugha ilikozaliwa). Wengi English ni lugha ya tatu au ya nne. Halafu tulivyo na akili finyu. Akija Mzungu akaongea Kiswahili hata cha kuchapia maneno mawili....tunasimama tunapiga makofi!

Mpaka Ban Ki-Moon anastaafu ..alikuwa hawezi kuongea maneno manne ya kiingereza mfululizo kwa ufasaha. Mbona hatukumwambia aachane nacho aongee Kikorea? Mazingira yalimlazimu. Kweli unaamini kwamba kutojua kwake kiingereza vizuri kulikwamisha utendaji wake?

Upeo wa kuelewa kama huu nautegemea kwa baadhi ya vijana wa kizazi hiki ambao wanaona English and intelligence are synonymous. Siyo watu kama wewe. Ulishapita hiyo level.

Critic Magufuli on substance. Take him on kwa utendaji wake.

Siamini kwamba yeye kujua au kutojua kiingereza got anything to do with his performance as President.
 
Mkuu unajua hata mtu kama humpendi, usionyeshe hisia zako kwa kumdharau kwa kila kitu anachokifanya-Unakosa objectivity. Unaonekana ni kati ya wale sore losers. cry babies.
Na mimi naomba nikupe ushauri...hata kama mtu unampenda usionyese hisia zako kwa kumsifu kwa kila kitu anachokifanya hata kama ni cha kijinga - unakosa objectivity. Unaonekana ni kama wale blind followers - butt worshippers. I have yet to see you [B]Masanja[/B] criticise any of his crazy proclamations!
Upeo wa kuelewa kama huu nautegemea kwa baadhi ya vijana wa kizazi hiki ambao wanaona English and intelligence are synonymous. Siyo watu kama wewe. Ulishapita hiyo level.
Well, it is a good thing you dont know me; FYI I dont entertain stupidity. Kama unajua kiingereza chako hakipandi halafu unaking'ang'ania wakati ungeweza kutumia lugha unayoimudu, swala ni why? What are you trying to prove? Kwamba na wewe umo? This is a blaring sign of low IQ!
Critic Magufuli on substance. Take him on kwa utendaji wake.
See what I mean? Ningekuwa wewe ningetumia neno kumkosoa Magufuli na badala ya critic Magufuli. Neno sahihi kwa kiingereza ni criticise siyo critic. What is wrong with you guys? As to utendaji, he leaves a lot to be desired.
Siamini kwamba yeye kujua au kutojua kiingereza got anything to do with his performance as President.
In this particular case it has everything to do with his performance as President. Katika karne hii ukiwa kiongozi usiyependa kukosolewa, you are in the wrong place. Masanja, you'd be doing OUR country a lot of favour if you'd defend our right to criticise the President the same way you heap praises on him whatever he does.
 
Na mimi naomba nikupe ushauri...hata kama mtu unampenda usionyese hisia zako kwa kumsifu kwa kila kitu anachokifanya hata kama ni cha kijinga - unakosa objectivity. Unaonekana ni kama wale blind followers - butt worshippers. I have yet to see you [B]Masanja[/B] criticise any of his crazy proclamations!

Well, it is a good thing you dont know me, I dont entertain stupidity. Kama unajua kiingereza chako hakipandi halafu unaking'ang'ania wakati ungeweza kutumia lugha unayoimudu, swala ni why? What are you trying to prove? Kwamba na wewe umo? This is a blaring sign of low IQ!
See what I mean? Ningekuwa wewe ningetumia neno kumkosoa Magufuli na badala ya critic Magufuli. Neno sahihi kwa kiingereza ni criticise siyo critic. What is wrong with you guys? As to utendaji, he leaves a lot to be desired.
In this particular case it has everything to do with his performance as President. Katika karne hii ukiwa kiongozi usiyependa kukosolewa, you are in the wrong place. Masanja you'd be doing the country a lot of favour if you'd defend our right to criticise the President the same way you heap praises on him whatever he does.

Naona Masanja ukabila unamfanya amuone Magufuli ndugu yake na awe na upofu wa kuona ukweli
 
Naona Masanja ukabila unamfanya amuone Magufuli ndugu yake na awe na upofu wa kuona ukweli
Linaloogofya zaidi ni kwamba they form quite a big chunk of the electorate, no wonder Mwalimu aliyaogopa haya makabila makubwa kukamata madaraka ya nchi hii. Najua watajitokeza watetezi na kuanza kunishambulia kwa ukabila lakini that's the truth and the very idea terrifies! Cry my beloved country!
 
Kikwete hakujua hili kosa alilolifanya...damage ya huu utawala itatusumbua miaka mingi kuirekebisha
 
Back
Top Bottom