Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Kuna mishe anasikilizia na ww msikilizie haya maisha haya eleweki leo hv kesho hv UMENIELEWA!!
 
Hamna ushauri unaoweza kupewa hapa ukaelewa. Asante tu kwa ku share kisa chako
 
Je umefikisha miaka 30?

Ni nadra sana mwanaume kuwa serious na mmama aliyeingia 30 labda awe kafiwa na wife
 
Je umefikisha miaka 30?

Ni nadra sana mwanaume kuwa serious na mmama aliyeingia 30 labda awe kafiwa na wife
 
Back
Top Bottom