Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 652
- Thread starter
- #81
Nishampa mkuu hapo siwezi kuacha aiseeKama ulishamlpa Pole sana, kama bado, bana sana mapaja yako dada ! Huo ndo ushauri pekee ,,,,!
Nishampa mkuu hapo siwezi kuacha aiseeKama ulishamlpa Pole sana, kama bado, bana sana mapaja yako dada ! Huo ndo ushauri pekee ,,,,!
HatujamalizaHiii imeenda
Huruma ya bwana iwe nawe usiku wa Leo hatimae uje pm tuseme eimen!Endelea kutuma maombi mkuu labda kuna mtu atakuonea huruma
😃😃 asa kwanini wewe ndio hutaki au yeyeOte tuko dar tena ubungo to tabata
Any way, kuwa nae makini anaonekana yuko kwako kimaslahi (sex), mtu hana mipango, future hata anakoishi pia hupajui ? Hii sio afya kabisaNishampa mkuu hapo siwezi kuacha aisee
Somo la kujiongeza nilifeli mkuupole sana, sina cha kukushauri mrembo. jiongeze mwenyewe.
Kwa iyo mpka wa 12 jamaa atakua anapiga pumbu tu?Nimempa muda mkuu Ngoja tuone ikifika mpk mwezi 12 nitajua mbivu na mbichi
Nimeshangaa na mimi, na bado kampa bonus ya 12 months kama kumvumilia.All those red flags na unamtegemea akuoe😂😂anyway kwa streets ukionyesha desperation you’re toast.
Bas tu napenda maisha ya uhuru japo kila akihitaji haki yake anapata😃😃 asa kwanini wewe ndio hutaki au yeye
Kusema yupo kwaajili ya sex utakuwa umemuonea.. hata huwa hayupo hivyo yaani tunaweza kukaa muda mrefu hatu sex tunaonana tu tunatoka out story nyingi ni mara chache sana yeye atake mimi Ndio mara nyingi nataka sex 🫣Any way, kuwa nae makini anaonekana yuko kwako kimaslahi (sex), mtu hana mipango, future hata anakoishi pia hupajui ? Hii sio afya kabisa
Tatizo hiloAmekufa vipi hapo mkuu
Kweli unampenda milele🤣 haya usisahau kuwa unatuletea updates za huyo shemela wetuu hadi hiyo mwezi wa 12.Nimempa muda mkuu Ngoja tuone ikifika mpk mwezi 12 nitajua mbivu na mbichi
Kuna sehemu anapoipata ndiyo maana hakisumbui umpeKusema yupo kwaajili ya sex utakuwa umemuonea.. hata huwa hayupo hivyo yaani tunaweza kukaa muda mrefu hatu sex tunaonana tu tunatoka out story nyingi ni mara chache sana yeye atake mimi Ndio mara nyingi nataka sex 🫣
Mkuu ndani ya miezi 6 ilobakia naamini kuna mtu atapatikana humohumo ndani ya mahusianoNimeshangaa na mimi, na bado kampa bonus ya 12 months kama kumvumilia.
---miezi 6 ya mahusiano
---Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga
😂😂 kwanza nahisi Kama yupo humuKweli unampenda milele🤣 haya usisahau kuwa unatuletea updates za huyo shemela wetuu hadi hiyo mwezi wa 12.
Nishamjua huyo ni Filipo ndo alivo hapo soon anakublock inakuwa imeisha hiyoZa siku nyingi humu ndani.. hope mko poa
Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano
Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..
Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7
Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa
Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga
Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya
Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana
Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious
Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote
Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
Kuna sababu fulanifulani nimehisi ndio zinamfanya akatae mimi nisiende kwake nashindwa kuziweka hapa maana nitafungua code---
---
Ukweli ni huu:
- Kwa muoaji - mwezi mmoja tu unatosha kuweza kubaini hili.
- Huyu wako ni mpitaji ndio sababu hataki ufahamu anakoishi.
- Amka chukua hatua.