Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
- #141
Usinambie jamaniiiiiiiKuna mishe anasikilizia na ww msikilizie haya maisha haya eleweki leo hv kesho hv UMENIELEWA!!
Usinambie jamaniiiiiiiKuna mishe anasikilizia na ww msikilizie haya maisha haya eleweki leo hv kesho hv UMENIELEWA!!
Usimteme ila ukweli mchungu huyo Mwanaume ana mahusiano mengine na ana malengo nayo hapo kaa mguu ndani mguu nje.Ooh
Kwaiyo nifanye nini je ni mapema miezi hiyo 6 niendelee kuvuta subira au nimteme
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa
Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano
Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..
Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7
Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa
Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga
Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya
Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana
Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious
Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote
Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
Boss nimenyooka hadi yeye anakiri hiyo labdaa sijui yeye anaangalia niniUnaonekana hujanyoka
Kaa ki wife material boss
Yeah ni ukweli dear hakuwa ananisubiri mimi anitongoze huenda anapima wapi ajilipue napo sema ndio hivyo ya Mungu mengi naweza Potenza muda for nothingUsimteme ila ukweli mchungu huyo Mwanaume ana mahusiano mengine na ana malengo nayo hapo kaa mguu ndani mguu nje.
Ili umchezeeNikiwa mkubwa nataka nipate mdada kama wewe
We nae kazi na mapenzi vina husiana nini mkuuHivi hadi uko kazini na hicho kichwa chako kiko hivyo? Kapime usikute huna ubongo
Inafanyikaje hiyo intelligence mkuuMwanaume akikupenda atakuoa.
Ila kabla ya kukuoa atafanya intelijensia ya hali ya juu. Maswali ya msingi kutaka kukufahamu zaidi pamoja na wanaokuzunguka.
Ukiona hamna intelijensi yoyote, sasa endeleeni kuvuziana; yaani we kula 'ela' zake nayeye 'ale' kimfaacho.
Ni vema ukafabya maarifa ili kama hafanyi intelijensia aweze kufanya maana uasherati na ukausha damu haujawahi kuwa na mwisho mwema, sio kimwili tu, bali kiroho, kiakili na kinafsi
KabisaaAmbacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote
NAKAZIA,wasiwasi ni akili
Jitahid kuikalia dada sawa😋😋😂😂😂 mimi mubinti mkuu
Hiyo mada ya kufahamu anapo ishi kwanza achana nayo we kuwa kama upo na rafiki sio mpenzi kwa miezi hiyo kwa Mwanaume anaye jielewa ukimya wako utamstua na kuchukua hatua kwa maana hatokuwa tayari kukupoteza kwa sababu ndogo kama hiyo.Yeah ni ukweli dear hakuwa ananisubiri mimi anitongoze huenda anapima wapi ajilipue napo sema ndio hivyo ya Mungu mengi naweza Potenza muda for nothing
Nimempa tena miezi 3 nione kama kuna any changes if not Nita move on
Huyo usikute ana mke na watotoZa siku nyingi humu ndani.. hope mko poa
Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano
Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..
Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7
Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa
Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga
Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya
Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana
Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious
Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote
Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
Mimi nimeachwa na shamila ati napiga vitatu tuBoss nimenyooka hadi yeye anakiri hiyo labdaa sijui yeye anaangalia nini
Angalau mara 2 kwa wiki siyo mbaya hapo hutumiki sanaNa wanaume Pia wanasema wakiitaka sana wanakula wanakutumia tu
Pole sana kwa kuwa single ndio ukubwaMimi nimeachwa na shamila ati napiga vitatu tu
Im single ikitokea lolote baya nipo tayari🤗🤗
Zote hizo ili iweje mkuuAngalau mara 2 kwa wiki siyo mbaya hapo hutumiki sana
Dada umesema unaomba mwenye kuelewa haya mambo akupe ushauri!, Ni hivi sisi wenyewe yanatuchapa kama wewe hatuyaelewi yaani hayana muongozo hivyo pambana na zimwi lako nasisi kwa nafasi zetu tutapambana na mazimwi yetu!..
Eeeh😁😁 hujakutana na mwanaume anayependa hayo mambo mbona kila day atataka akukule tu na ukimnyima anachepuka kwahiyo utachagua umpe atulie au umnyime achepukeZote hizo ili iweje mkuu
Hapati kitu hapa labda mimi ndio niwe na hamu