Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Mwanaume akishakuvua nguo chance ya kukuoa ni ndogo sana, mnajirahisisha sana watoto wa kike. Wengi mnafikiri kwamba usipompa atakuacha, halafu mnakuja kuomba ushauri mshavuliwa nguo.!
Tunajirahisisha vipi mkuu wakati na sisi tuna upwiru
Mimi kama sikupendi sikuvulii nguo ila nikukupenda nitakufata ulipo na nitakupa na hiyo sio kujirahisisha ni kujiridhisha kama yaliyomo yamo
 
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa

Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano

Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..

Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7

Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa

Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga

Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya

Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana

Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious

Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote

Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
Acha uzinzi mkimbie huyo anataka kukuchachafya tu alafu madogo waje waoe shimo
 
Unanikumbusha jamaa mmoja I once dated, alikuwa anabembeleza penzi Kwa manzi mwingine, nikamuuliza kwani are you still searching? Akanijibu eeh, dah one month ahead tuliachana . I couldn't date someone ananionaje sijui. After nimeachana nae two years later , nimepata mme wangu , nimeolewa, anashangaa picha tu za harusi , anabaki kuulizia watu is this real?
 
Tunajirahisisha vipi mkuu wakati na sisi tuna upwiru
Mimi kama sikupendi sikuvulii nguo ila nikukupenda nitakufata ulipo na nitakupa na hiyo sio kujirahisisha ni kujiridhisha kama yaliyomo yamo
Tendo la ndoa halikuitwa hivyo kwa bahati mbaya ni kwa ajili ya wanandoa tu, kwa hio jizuie kuzishinda tamaa zako.
Halafu kitu kingine ambacho wanaume tunakimbilia kuoa ni kwa ajili ya kupata tendo la ndoa halafu hayo mengine ya watoto n.k yatafuata. Sasa kama mtu ana uhakika wa kulipata muda wowote atawaza kuoa huyo!?
Kumpa mwanaume tendo haimaanishi kwamba ndio atakupenda, acha hio tu hata umzalie mtoto/watoto, nafikiri mifano unaiona mtaani. Ushafanya kosa usirudie kosa.
Ushauri wangu, ukitaka mwanaume akuanze yeye kutaka ndoa mnapoingia kwenye mahusiano muweke kwenye friend zone kwa maana ya kwamba hakuna kukutana kimwili mpaka ndoa, jiwekee mipaka yako ili mwanaume ajue kwamba huingiliki kirahisi, pili usimuombe hela wala zawadi acha atoe yeye menyewe, wakati mwingine nawewe mpe zawadi (sio mwili), kwa mfano muambie unataka uende kwake ukampikie chakula, ukamfulie, n.k mpaka hapo ushajua kwake (narudia tena usimpe ruhusa aguse mwili wako kwa namna yoyote ile pindi uendapo kwake). Acha mwanaume akupende yeye mwenyewe ukimpenda wewe utapata shida (utakuwa kero kwake).
Mwisho, miezi sita haitoshi kumfahamu mtu, wanaume tunachukua muda mrefu sana kumuamini mwanamke.
 
Hamishia upendo wako kwa nduguzo na Mungu.Unatapeliwa.Miezi sita siyo penzi changa.
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa

Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano

Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..

Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7

Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa

Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga

Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya

Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana

Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious

Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote

Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
 
ukweli ulionyooka, japo kua sitaki kumuongekea jamaa , ni kwamba wewe unampenda kuliko anavyokuoenda wewe

unaweza kuwa wife material ila sio kwa kila mtu, jaribu kupunguza upatikanaji wako, kama bado unajihisi hivo hiyo ni dalili ya kwanza muhimu kua upo tuu kwa reson and season
 
Tendo la ndoa halikuitwa hivyo kwa bahati mbaya ni kwa ajili ya wanandoa tu, kwa hio jizuie kuzishinda tamaa zako.
Halafu kitu kingine ambacho wanaume tunakimbilia kuoa ni kwa ajili ya kupata tendo la ndoa halafu hayo mengine ya watoto n.k yatafuata. Sasa kama mtu ana uhakika wa kulipata muda wowote atawaza kuoa huyo!?
Kumpa mwanaume tendo haimaanishi kwamba ndio atakupenda, acha hio tu hata umzalie mtoto/watoto, nafikiri mifano unaiona mtaani. Ushafanya kosa usirudie kosa.
Ushauri wangu, ukitaka mwanaume akuanze yeye kutaka ndoa mnapoingia kwenye mahusiano muweke kwenye friend zone kwa maana ya kwamba hakuna kukutana kimwili mpaka ndoa, jiwekee mipaka yako ili mwanaume ajue kwamba huingiliki kirahisi, pili usimuombe hela wala zawadi acha atoe yeye menyewe, wakati mwingine nawewe mpe zawadi (sio mwili), kwa mfano muambie unataka uende kwake ukampikie chakula, ukamfulie, n.k mpaka hapo ushajua kwake (narudia tena usimpe ruhusa aguse mwili wako kwa namna yoyote ile pindi uendapo kwake). Acha mwanaume akupende yeye mwenyewe ukimpenda wewe utapata shida (utakuwa kero kwake).
Mwisho, miezi sita haitoshi kumfahamu mtu, wanaume tunachukua muda mrefu sana kumuamini mwanamke.
Haya labda nianze kumnyima sasa hiyo ngono ila nishampaa kashanifaidi Hakuna kipya mkuu
 
Back
Top Bottom