Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Kama ulishamlpa Pole sana, kama bado, bana sana mapaja yako dada ! Huo ndo ushauri pekee ,,,,!
 
tuliza akili mkuu kiherehere chakutaka ndoa kitakuponza,maana kuna umri flani mwanamke akishafika anapata stress za ndoa .huyo jamaa anavyoonyesha hanafyucha na wewe
 
Hilo halina shaka dear tunaongea wakati wote hata iwe usiku wa saa 9 bado sijaona tofauti hapo
Au familia yake iko mbali na yeye! Miezi sita kwa mwanaume aliye serious ni mingi! Mwingine angekuwa ashakwambia ukamsaidie kufanya usafi!
 
Kuachana nae kwa sasa hapana labda nikipata mbadala unaoeleweka saivi nangoja angalau tufike mwaka 1 halafu nitafanya uamuzi

Nampa muda tena
Ingawa unajua kabisa mtu hana malengo na wewe na bado unampa muda.

Tutakutana mwakani nimekaa paleee.
 
Muulize Mungu hilo swali akikujibu basi ila huwezi jua moyoni mwake unaweza muacha ukabaki single ukachezewa nawapitao ukipata mtu sahihi ukampenda mwombe Mungu ammbadilishe vile unvyotaka.

Ila kama si wako hutoweza kumbadilisha.
 
Miezi sita hujui kwake hii ni taa nyekundu tayari kwako anaweza akawa mme wa mtu au anakutumia tu anza kuchukua hatua ikiwemo kutaka kujua kwake na angalau ata ndugu yake mmoja umjue
Jamaa ni mjanja sana ujue
wanawake hawaaminiki wamekuwa wezi unaweza umpeleke geto then kesho yake ukaenda harakati we umemuacha ashinde hapo jioni ukirudi unakuta geto jeupee hakuna kitu ata kimoja uanze kulala juu ya box.
 
Muulize Mungu hilo swali akikujibu basi ila huwezi jua moyoni mwake unaweza muacha ukabaki single ukachezewa nawapitao ukipata mtu sahihi ukampenda mwombe Mungu ammbadilishe vile unvyotaka.

Ila kama si wako hutoweza kumbadilisha.
Nilikuwa naomba ila sasa nimeacha nature ichukue uamuzi wake
 
Back
Top Bottom