Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Ana mke au ana mchumba ambaye huwa anaenda kwake.

Possibility ndogo inaweza kuwa kwa sababu ya imani ya kidini hawezi kukosogeza kwake kabla ya ndoa
Yote mawili yanaweza kuwa majibu hilo la 3 si jibu
 
Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa

Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano

Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake..

Ni mwanaume mzuri ananijali na tunaishi vizuri kwakweli nisiwe muongo… mimi nina kazi na yeye ana kazi yake, amenizidi miaka 7

Ila kama unavojua kuna muda unafika unahitaji kupata mtu wa kutulia nae na kufanya maisha.. nafikiri wengi mnafahamu wanawake wengi ndoto yao kubwa ni kuwa na familia yaani ndoa( japo wengi watajifanya hawaitaji ndoa kwamba sio kitu cha lazima UONGA) kila mtu anahitaji familia ni vile tu unakuta mdada anakosa mtu anaemtaka wa kumuoa ndio anabaki kupondea ndoa

Sasa ni hivi mimi huyu kijana sifahamu mahali anapoishi na nimejaribu kumwambia hata akanioneshe wapi anaishi amekuwa akinipiga kalenda.. hili sio shida sana labda kwasababu mahusiano bado machanga

Kitu kilichofanya niadike huu uzi ni namna tunavyoendesha haya mahusiano.. ni mtu ambae hataki kuniaminisha chochote yaani hata ile kuonesha kwamba tuna future hapana yupo kimya

Nimewahi kumuuliza hatima ya mahusiano yetu ni nini?? Ananijibu kuwa ni swali gumu ila yeye kwa sasa bado hajawa tayari kuwa serious labda siku za mbeleni
Anasema tu kuwa tuendelee kuwa na mahusiano tutaona mbeleni kama Mungu amepanga sisi tuwe pamoja tutaoana

Wakuu hiyo hali inaniwazisha sana nashindwa nini cha kuamua.. nashindwa kumuweka upande gani.. mtu umeamua kumpenda halafu yeye kumbe hayuko serious

Ambacho nina kiwaza kichwani wangu nimtoe kwenye ile nafasi ambayo nimemuweka nimrudishe chini kabisa nijiandae kwa lolote

Naomba mwenye kuelewa haya mambo anipe ushauri
Mie nnae mmoja mwaka wa 3 huu na wala kwangu hakujui wala ndugu yangu yoyote sometime huwa tunaamuwaga hvyo tu
 
Balance upendo wako kaa mhuu ndani mguu nje, Jamaa hana malengo yoyote na wewe.

usimwage maupendo yako yote kwake utaumia.
 
Mtu ambaye hayuko wazi kwako kuna sababu nyingi inawezekana ana mahusiano mengine na mtu au ameshindwa kupata kile anachokitaka kwako kwa huu muda mfupi.Jitahidi kumwonyesha mna future mbele.Mu expose na fursa za kiuchumi mfano muanzishe hata biashara au mtafute kiwanja.Akikataa au ukiona ni mzito hakuna mapenzi hapo
šŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€ naona kama muda mfupi sana niwe exposure kiasi hicho

Nianze kumwambia na mambo ya maendeleo si atanikimbia
 
All those red flags na unamtegemea akuoešŸ˜‚šŸ˜‚anyway kwa streets ukionyesha desperation you’re toast.
 
Hilo swali lako ilibidi umuulize kabla hajakuvua, walau angelijibu hata kama ni kwa uongo.... kwa sasa sahau ushaliwa.

Hebu subiri kidogo, huyo unayetangaza Nampendamilele ndo yeye?
 
Kuna kitu hakipo sawa, jaribu kumfatilia zaidi! Na ikibidi mpigie simu nyakati mbaya ! Yn usiku mnene uone atapokea? Na je atakuwa huru kuongea?! Utapata jibu sahihi.
 
Kuwa makini maana kwa maelezo yako inaonekana uyo jamaa kashaoa na kwako anasafisha rungu tu
 
Fanya hivyo ikiwezekana achana naye njoo kwangu tu
Kuachana nae kwa sasa hapana labda nikipata mbadala unaoeleweka saivi nangoja angalau tufike mwaka 1 halafu nitafanya uamuzi

Nampa muda tena
 
Kuna kitu hakipo sawa, jaribu kumfatilia zaidi! Na ikibidi mpigie simu nyakati mbaya ! Yn usiku mnene uone atapokea? Na je atakuwa huru kuongea?! Utapata jibu sahihi.
Hilo halina shaka dear tunaongea wakati wote hata iwe usiku wa saa 9 bado sijaona tofauti hapo
 
Back
Top Bottom