Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Ana mke au ana mchumba ambaye huwa anaenda kwake.

Possibility ndogo inaweza kuwa kwa sababu ya imani ya kidini hawezi kukosogeza kwake kabla ya ndoa
 
Mtu ambaye hayuko wazi kwako kuna sababu nyingi inawezekana ana mahusiano mengine na mtu au ameshindwa kupata kile anachokitaka kwako kwa huu muda mfupi.Jitahidi kumwonyesha mna future mbele.Mu expose na fursa za kiuchumi mfano muanzishe hata biashara au mtafute kiwanja.Akikataa au ukiona ni mzito hakuna mapenzi hapo
 
Kwa maelezo ulio yatoa uzoefu wangu unaonyesha kwamba.....
Wewe unampenda sana huyo mwanaume, na unatumia moyo badala ya kutumia akili kufanya maamuzi.
Mwisho niseme tu kwamba.....
Huyo mwanaume hana upendo wa dhati kwako, na hana mpango wa kukuoa wala hatokuja kufanya maisha na wewe.
Itoshe kusema kwamba.... wewe sio mwanamke wa ndoto yake.
Ndo ukweli mtupu kama mtu ataki upajue kwake anataka apige asepe na achunge mimba.
 
Ana mke au ana mchumba ambaye huwa anaenda kwake.

Possibility ndogo inaweza kuwa kwa sababu ya imani ya kidini hawezi kukosogeza kwake kabla ya ndoa
Mtu kujua anakaa wap dini inazuia nn?
 
Kwa maelezo ulio yatoa uzoefu wangu unaonyesha kwamba.....
Wewe unampenda sana huyo mwanaume, na unatumia moyo badala ya kutumia akili kufanya maamuzi.
Mwisho niseme tu kwamba.....
Huyo mwanaume hana upendo wa dhati kwako, na hana mpango wa kukuoa wala hatokuja kufanya maisha na wewe.
Itoshe kusema kwamba.... wewe sio mwanamke wa ndoto yake.
Inshallah
Ngoja Nifungashe virago
 
Wewe utakuwa ni mchepuko ana familia huyo mchunguze vizuri labda upo tayari kuwa mke wa pili

Nje ya mada: natafuta mchepuko wa kudumu kama wewe alieko serious aje pm
Inaweza kuwa

Ndani ya mada: mchepuko hatafutwi anakujaga automatically
 
Mume wa mtu huyo 🙄 yaan miez 6 na hujui kwake nataman kuuliza swal fulan ila ngoja ninyamaze
Kuna kauli hapo amesema Kwa Sasa hayupo serious 😄😄😄 tukufinye kidogo uweze kuamka
 
Hebu nifinye mkuu
Au uje PM unieleze maana itakuwa nimejiroga
 
Back
Top Bottom