Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Duuh mzungu? 😂

Mzungu tunaishia FaceTime tu yuko kwao na hana mpango wa kuja huku by now.

Nisaidie nisije patwa maradhi na wewe upo.
Matani yawe na mipaka..ignore list loading.....
 
Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.

Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida.

Kutaka kufanya mapenzi kila wakati hili nalo ni janga ndugu zangu maana, unakuwa na kazi mbili kazini, uhakikishe unamaliza majukumu, huku ukipata mateso kijuzuia hisia kali za kuwa lala wanawake kazini.

Je nifanye nini kuuliza hisia hizi? Nimtongoze demu wa hapa kazini niwe namla kila siku ama nifanye njia gani kuepukana na kadhia hii?

Wanaume mnafanyaje kuzuia temptation za huko chini?
Si tulikubaliana unajoun kwenye no fap challenge
 
Fukuzeni hii taka taka huko maofisini mmeajiri pumbavu lofa linawaza ngono kazini
 
Back
Top Bottom