Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Can you explain the spiritual aspect of ngono? Maana wengine wanaona kama starehe tu
ni mada ndefu na fupi na kiukweli binafsi siyo mzuri kwenye kuelezea mambo ila jaribu ku Google au fwatilia nyuzi za wakongwe huku utakutana na shuhuda ya madhara ya ngono kiroho. na maagano ambayo hutokea wakati wa kujamiiana transmission of spiritual energy through sex ni kwa namna gani, wakati gani na inafanyaje kazi na matokeo yake.

pia utajifunza madhara ya matokeo ya ngono hasa za ghafla hasa kwa nyakati kama izo unazopitia.

unampango wa kuoa mwanamke kwa lazima ambaye hukumpenda nje ya ndoto zako?

Achilia mbali magonjwa na kukosa amani/raha/uhuru je una mpango wa kuja kuwa na migororo ndani ya ndoa yako isiyoisha kisa wivu toka kwa mwenzi wako? au kiuchumi na kuanza kukimbilia kwa waganga baada ya kupewa nuksi,laana na mikosi toka familia nyingine bila kujua chanzo halisi tena baada ya muda kupita maishani?

Epuka ngono holela tafuta mke wa kutulia naye maishani. Usidharau waliooa na kutulia na wake zao kwa amani ndani kuna mengi wanayaepuka duniani.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom