min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,704
- 172,366
Sasa kiti moto hata 10k haifiki na vodka hata 30 k haifiki dream life gani hilo sasa?Dreamy lifestyle bwashee
Sasa kiti moto hata 10k haifiki na vodka hata 30 k haifiki dream life gani hilo sasa?Dreamy lifestyle bwashee
Kula nguruwe bwashee hana ubaya na mtuNimemisi chai fire nadhani niageze hata nusu hapa kavuu
Barikiwa sana 🙏 🙏Shukran mkuu.
Mkuu ni kwamba kazi zinapigwa ila any chance I get, nikiona mdada anapitia mbele yangu mara unasoma automatically, ni kwamba tu kuna watu, huenda tungelikuwa wawili naye tu ningembaka kabisa. Ninahamu zilizopitiliza.Huna kazi ya kufanya mkuu ndiyo maana tamaa za kijinga zinakujia kila wakati.
Yaani mtu uwe na mafaili lundo ofisini na yanatakiwa kushughulikiwa kwa umakini na weledi halafu eti upate muda wa kufikiria 'ngozi' kila mara?
Labda kama wewe ni secretary wa ofisi ambayo kwa wiki mnapokea file moja hivyo unajikuta umekaa hadi unasinzia mapokezi.
So unafikiri hisia zinakuwa caused and controlled by busyness!? Mkuu labda kama haujafikia kukomaaMARADHI ni HAZINA YA KUDUMU ikitokea ukauvagaa umeme automatically.
Kiboo kitatulia chenyewe au ukipata kesi ya kumpa mimba mwanafunzi au hata ukipata stress ngumu Kali za kimaisha kwakua now akili umeiruhusu iwe comfortable ni ruksa kuwaza unayo waza
NB. Wazungu husema The IDLE MIND , IS A WORKSHOP OF A DEVIL 👿 😈
Tafuna mema ya dunia kijana, hawa viumbe tumeumbiwa sisi.Hahaha mkuu je hii Hali ni ya kawaida? Maana naona kama vile ni pepo limenijia mkuu
Dah piga puchu tu bwasheeMkuu yaani mimi naona kama vile ndo ni naanza balehe upya kabisa hii hali sijawahi kuipitia kwa kuwa na hisia kali namna hii,
Kwa usalama zaidi unatakiwa uache sio kupunguza mkuu... hata mimi nina experience yani ukiona tu mwanamke au mkigusana akili inawaza ngono tuPorn nimepunguza siku hizi, maana nazo zinachochea sana
Gentleman,Ni kweli ndugu mdau,
Ila kinacho niathiri ni kuwa sitaki kuvuta mwanamke wa kuniletea shida, we are loving in hard times.. Najua na niko katika harakati hizo ila sio rahisi na mwanamke ideal ni naye mtaka bado hajapatikana so by the time being unajikuta huna jinsi tena. Unaangalia iliyonona unatoboka na kumaliza haja zako basi

Mimi na miaka 38's unahisi sijakomaa HIYO KITU HAIPATI KUTU SIO UFUNGUOSo unafikiri hisia zinakuwa caused and controlled by busyness!? Mkuu labda kama haujafikia kukomaa
Hakika mkuu, nayatsmani sana maisha hayo mkuu Wacha nijipe quest ya kutafuta mwandani wangu kwa wivu mkubwa mno. Nwakati ndo huu ndugu mdauGentleman,
wacha nikuongezee ushauri kidogo tu kuhusu faida za kuvuta kitu ndani wakati wa huu ambapo una afya njema na inayokupa mchecheto wa mshedede, ashiki na hamu ya kunyandua kila mara,
yaani,
ukivuta sasa hivi uataenjoy sana kutimiza hamu na tamaa zako za kimwili kwa uhakika sana,
na,
at the time hamu na tamaa za kimwili zikiisha, utajikuta sasa huna sababu hata moja ya kuvuka boda kwa mwanamke mwingine mchepuko, na moyo wako utakuambia kabisa unatafuta nini tena kingine zaidi ya hiki?
na hatimae utajikuta unafyatua watoto tu huku ndoa ikiwa ya furaha na yakupendeza![]()
Chapa tu, ukikua utakinai, ni umri tu.
pKULA TANGO LA KICHEMSHA KILA UNAPOTAKA KULALA USIWEKE CHUMVI.Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida.
Kutaka kufanya mapenzi kila wakati hili nalo ni janga ndugu zangu maana, unakuwa na kazi mbili kazini, uhakikishe unamaliza majukumu, huku ukipata mateso kijuzuia hisia kali za kuwa lala wanawake kazini.
Je nifanye nini kuuliza hisia hizi? Nimtongoze demu wa hapa kazini niwe namla kila siku ama nifanye njia gani kuepukana na kadhia hii?
Wanaume mnafanyaje kuzuia temptation za huko chini?
Kwa umri huo wenge linakata sana , sio mshmba wa vipochi manyoyaWaajiri wanaotaka miaka 35+ na uzoefu wa miaka 10, huwa wapo sahihi, wanataka umri flani wa mtu wenge linakuwa limemuisha.
Sawa mkuu, nahisi niko kwenye prime Wacha nikazane kuzuchapa kwa wivu mkubwa mno30 hapo ndio vibe la kutamani kuzichpa lipo kwenye kilele chake , utakapoanza kuona vijana wa umri wako wamekuzidi maisha hilo vibe linakata unabaki kuichaka kwa mudi tu