Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,584
- 42,886
MARADHI ni HAZINA YA KUDUMU ikitokea ukauvagaa umeme automatically.Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida.
Kutaka kufanya mapenzi kila wakati hili nalo ni janga ndugu zangu maana, unakuwa na kazi mbili kazini, uhakikishe unamaliza majukumu, huku ukipata mateso kijuzuia hisia kali za kuwa lala wanawake kazini.
Je nifanye nini kuuliza hisia hizi? Nimtongoze demu wa hapa kazini niwe namla kila siku ama nifanye njia gani kuepukana na kadhia hii?
Wanaume mnafanyaje kuzuia temptation za huko chini?
Kiboo kitatulia chenyewe au ukipata kesi ya kumpa mimba mwanafunzi au hata ukipata stress ngumu Kali za kimaisha kwakua now akili umeiruhusu iwe comfortable ni ruksa kuwaza unayo waza
NB. Wazungu husema The IDLE MIND , IS A WORKSHOP OF A DEVIL 👿 😈