Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Mangi kila mtu ana kingayake na namna ya kuilipa iyo dhambi. na kumbuka ngono siyo kitu cha kawaida huwa ni maagano ya kiroho ingawa kibinadamu tunachukulia starehe. subiri mbeleni kuna watakao leta ushuhuda kwa waliyo watokea baada ya kushindwa idhibiti.
Sipingi imani yako , ila kwa mimi ambae siamini naona hakuna kitu, labda imani ili kufanya kazi inataka kuamini
 
Kama mtu mzima, naweza kushauri machache;

✓Hakikisha umeoa
✓Hakikisha mkeo anakupa morning glory Kila siku, hii itakusaidia kupunguza ashki na nyege mshindo zao
✓Jiweke busy na kazi, inaonekana huna majukumu ya kutosha hapo unapofanyia kazi. Mimi Kuna wakati nakuwa busy, hadi nasahau kwamba mnala wa babeli hata huwa unasimama
✓Usipende kufanyia ngono kwenye eneo lako la kujitafutia ugali, unakwenda kuinajisi ofisi yako, hivyo unaweza kushindwa kuendelea na kuona mafanikio
 
Huna kazi ya kufanya mkuu ndiyo maana tamaa za kijinga zinakujia kila wakati.

Yaani mtu uwe na mafaili lundo ofisini na yanatakiwa kushughulikiwa kwa umakini na weledi halafu eti upate muda wa kufikiria 'ngozi' kila mara?

Labda kama wewe ni secretary wa ofisi ambayo kwa wiki mnapokea file moja hivyo unajikuta umekaa hadi unasinzia mapokezi.
 
Chukua likizo ya mwezi mmjoa, tafuta chumba buruguni malapa pale karibia na zile nyumba za madada poa, kazi kwako kuanza kujitibu. Ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepona kabisa, kisha rudi kazini. Ila tu ukisharudi kazini zingatia sana dosi, kula vizuri, fanya mazoezi na kupumzika kwa wakati.

Nakutakia tiba njema ya hamu ya ngono.
Madada poa ndio wa kunitibu? Au kuna dawa gani huko, mbona sijakuelewa kabisa kiongozi?
 
Back
Top Bottom