Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

vipi yale mashamba huku arusha ya burka anayomilki mtoto fisadi wa j.k..riz1 mdee hajakumbushia?
 
Hivi hili neno lina maana gani? hebu tufafanulie..
Linamaana Kikwete fisadi namba moja na nchi imemshinda ndiyo maana kila kukicha ni mguu na njia kwa wastani kasha zungukia nchi zote duniani mara 2.....huku nchi yake ikizidi kuwa masikini halafu hajui ni kwanini nchi yake ni masikini...
 
Nadhani haujui historia ya hii nchi. Mababu zetu walipigana vita kwa ajili ya ardhi hii, ambayo kwa kuwaenzi baba wa Taifa alikuwa makini sana katika umilikishaji holela wa ardhi. wewe unavyoona hakuna tatizo, Mgeni anakuja anamilki ardhi hector 1000, hapo hapo mwenyeji anaomba hekari 10 ananyimwa.
umesema sawa mkubwa!!! wauzaji wa ardhi ya wananchi kwa ubaguzi ni wauza nchi!!!
 
Tunataka kusikia hao Maafisa Ardhi wanaojifanya Miungu watu kwa kudhulumu viwanja vya watu, wanachukuliwa hatua gani? Hasa katika miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza nk---nk.
 
Nyerere alimuuliza hivyohivyo Jomo Kenyatta kuwa hasikii joto akivaa SUTI la 3 pieces maeneo ya Dar au Mombasa?

Kenyatta akamwambia "Julius, lete mkono wako......." Mkono ukaingizwa ndani ya SUTI na ndani kuna kibaridiii.....

Ndipo Nyerere na Mami NN(leo) wakajua kuwa "Ndani ya baadhi ya SUTI, kuna Air Condition". Mambo ya Chadema hayo Mami.
Hivi hamsikiagi joto kuvaa hayo magwanda?
 
Nyerere alimuuliza hivyohivyo Jomo Kenyatta kuwa hasikii joto akivaa SUTI la 3 pieces maeneo ya Dar au Mombasa?

Kenyatta akamwambia "Julius, lete mkono wako......." Mkono ukaingizwa ndani ya SUTI na ndani kuna kibaridiii.....

Ndipo Nyerere na Mami NN(leo) wakajua kuwa "Ndani ya baadhi ya SUTI, kuna Air Condition". Mambo ya Chadema hayo Mami.

Eeeh mami kumbe CHADEMA wameendelea hivyo? Yaani fulu viyoyozi hadi kwenye migwanda? Teh teh teh haya bana.

Ulimhola ahene?
 
@Mtazamaji
ardhi haitumiki kuzalisha chakula au mifugo? - mostly chakula

hawakufuata na mamlaka husika haziufuata taratibu taraibu katika kumilikishwa hizo ardhi.?
-Process nzima inaghubikwa na utata na kuna dalili za rushwa. Wananchi walikataa kutoa kiasi kikubwa cha ardhi walichotaka (zaidi ya ekari laki moja kwa miaka 99) wakashauri wapewe kiasi kidogo, na pia kwa kuanzia wapewe kwa miaka 20 tu na kama wakifanya vizuri kulingana na terms za mkataba ndio waongezewe muda. Kinyume chake sasa, viongozi wachache (local authority guys) wakapelekwa marekani kwa siku kadhaa na waliporudi mkataba ukasainiwa, wanavijiji wamebaki wanaduwaa! Kituko kwenye huu mkataba uliosukwa huko Marekani kwa kila ekari moja hawa wawekezaji walipa kati ya Tshs 200 -500 tu kwa moja! Narudia, kati ya Tshs 200 - 500 kwa ekari kwa mwaka. Tanzania hii ni wapi unaweza kukodi ekari nzima kwa shilingi 200 au mitano au hata 1,000 kwa mwaka. Pia Miaka 99 ijayo shilllingi 500 itakuwa na thamani gani? Huu mkataba kama haujatoka kwa Chief Mangungo umetoka wapi?


Tatizo kubwa la Zimbabwe ni Landa (Ardhi). Sisi hapa tuna bahati kwamba baada ya uhuru ardhi hakichukuliwa kwa maelfu na maelfu ya ekari na watu wachache. Lakini kama hatukuwa makini hiki wanachokiita UWEKEZAJI na KILIMO KWANZA tutajikuta tumejijengea Zimbabwe. Na huko ndiko tunakoelekea sasa.

Kuna watu amabo hawakulipwa fidia.? - Kuna maeneo wananchi hawana sehemu za kulima au kuchunga mifugo yao kwa sababu mwekezaji kapewa. Kumbuka huyu mwekezaji kawakuta. Yuko mbunge mmoja katoa mfano bungeni kwamba wako wafugaji waliomba ardhi kwa ajili ya mifugo yao eneo fulani, serikali ikasema hakuna ardhi. Lakini baadae ametokeza Mu-Italiano akapewa ekari 3000 sehemu ile ile waliyoomba wafugaji. Na cha ajabu huyu mwekezaji kapewa eneo la mpakani kati ya Tanzania na Kenya. Na hili eneo ni sugu kwa watu wanaoingia nchini kinyume cha sharia kutoka nchi jirani, Kenya, Somalia &Ethiopia .

Nadhani kama Taifa, kuna haja kabisa ya kutoruhusu (kwa sheria)wageni kumiliki ardhi maeneo ya mipaka ya nchi. Ni kama tunakabidhi raia wa kigeni wachunge mipaka yetu!
Wamemilikishwa ardhi na wenyewe wanawakodisha wanakijiji? - Kuna kuzungukana, wanavijiji wanaachwa pembeni kwa kiasi kikubwa. Pia kuna 'vimemo' vinatoka juu kwa maana ya wizarani etc hivyo uongozi wa chini unakuwa na hofu ya kufanya vingenevyo.


Mimi sioni Tatizo kwa mkapa sumaye au ngwilizi umiliki ardhi kama walimilikishwa ihalali nawalifuata taratibu na sheria zote na wanaitumia ardhi kwa malengo yaliyokusudiwa - Nakubaliana na wewe kiasi lakini lazima uhakikishe wanavijiji wa mahala husika wana ardhi ya kutosha na wanahushwa katika mchakato wote. Kenya wana matatizo sana kwa sasa hivi kwa sababu hii hii ya watu wachache kumiliki ardhi ni wangi wamebakia kuwa manamba. Hata ukisoma report ya Kofi Annan aliyotoa wakati wa kusulughulisha mgogoro wa uchaguzi uliopita huko Kenya, anasema kabisa 'Long-term' solution ihusishe ardhi. Watu wapate ardhi!
 
Nimependa hotuba yake kwenye utangulizi alimuomba Mungu ampe Dr. Slaa maisha marefu na afya njema ili 2015 waingie kwenye ile nyumba nyeupe na akasema hakika watafanikiwa! Safi sana.
 
Halima mdee ur up mama
u rock ile mbaya
Conga 4dat luv
Endelea kufichua cri zao
Cdm juu juu juu zaidi,magamba pole
 
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.
kasoma vizuri
 
Regia mtema unaweza kufafanua zaidi
Kwani kuna tatizo gani kama hao watu wakimiliki ardhi kiasi kikubwa?

  • ardhi haitumiki kuzalisha chakula au mifugo?
  • hawakufuata na mamlaka husika haziufuata taratibu taraibu katika kumilikishwa hizo ardhi.?
  • Kuna watu amabo hawakulipwa fidia.?
  • Wamemilikishwa ardhi na wenyewe wanawakodisha wanakijiji?

Tusiwe tu tunapinga bila kujua tunachopinga ni nini hasa. Mimi sioni Tatizo kwa mkapa sumaye au ngwilizi umiliki ardhi kama walimilikishwa ihalali nawalifuata taratibu na sheria zote na wanaitumia ardhi kwa malengo yaliyokusudiwa.

omba hotuba usome yote na uone matatizo yaliyoainishwa na suluhisho sio kudandia gari kwa mbele kusema watu wanapinga kila kitu
 
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.<br />
<br />
Viva Halima.
<br />
<br />
kiukweli kafunika, ametoka poa na gwanda vibaya mno mi nmependa ubunifu aliofanya hasa ule mkanda tumbon, kapendeza kiukweli, lkn kikubwa ni vitu vya msing alivyovyongea, hasa kuwafichua majambaz ya aridh kutoka ccm, Mtema, mdee na wenzenu mungu anawalinda mana tunaomba kwa ajili yenu. Nampa big up mdee, mi nmejiandaa kwa mapinduz mpaka tuifikie nchi ya Ahad.
 
Ndio tatizo la wabunge wa "kupewa"! Yaani wewe unakuja humu kutueleza umefurahishwa na gwanda la mdee?
Ukombozi uko mbali na hawa kamwe hawawezi kuleta ukombozi!
 
amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.
Kama ni tatizo kuhodhi ardhi, kosa ni la Wizara. Wizara ya Ardhi, kwa dhamana ya saini ya Rais, ndio inagawa viwanja.

Wameomba, wamepewa, wangekataa?
 
Ndio tatizo la wabunge wa "kupewa"! Yaani wewe unakuja humu kutueleza umefurahishwa na gwanda la mdee?
Ukombozi uko mbali na hawa kamwe hawawezi kuleta ukombozi!

kimsingi umeshakubali kuwa kuna hitaji la ukpmbozi ndo la maana
 
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Mh. Regia Mtema, tafadhali kama inawezekana wekeni speech nzima ya Mh Halima Mdee hapa Jamvini (kama ilivyo kwenye hansard).
Ila nawatahadharia: Kaeni chonyo, mmemgusa Mzee Malecela, sasa subirini washawasha wa Anna Kilango🙂
 
Back
Top Bottom