Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

Nimeshtushwa mno kwamba Mzee Idd Simba (tena) anahusika na umilikishwaji wa ardhi zaidi ya ekari laki moja kwa miaka 99, huku eraki moja ikilipiwa kati ya shs 200-500 (TUUUU) kwa mwaka! UZAWA?
Na huyu eti ndiye alikuwa mstari wa mbele kutetea uzawa.

• Thanks
Reactions: FJM
KIla la kheri katika hili na pia tunapenda sana kuona mambo kama haya natafutiwa ufumbuzi mapema sana

Regia mtema unaweza kufafanua zaidi
Kwani kuna tatizo gani kama hao watu wakimiliki ardhi kiasi kikubwa?

• ardhi haitumiki kuzalisha chakula au mifugo?
• hawakufuata na mamlaka husika haziufuata taratibu taraibu katika kumilikishwa hizo ardhi.?
• Kuna watu amabo hawakulipwa fidia.?
• Wamemilikishwa ardhi na wenyewe wanawakodisha wanakijiji?

Tusiwe tu tunapinga bila kujua tunachopinga ni nini hasa. Mimi sioni Tatizo kwa mkapa sumaye au ngwilizi umiliki ardhi kama walimilikishwa ihalali nawalifuata taratibu na sheria zote na wanaitumia ardhi kwa malengo yaliyokusudiwa.

Nadhani haujui historia ya hii nchi. Mababu zetu walipigana vita kwa ajili ya ardhi hii, ambayo kwa kuwaenzi baba wa Taifa alikuwa makini sana katika umilikishaji holela wa ardhi. wewe unavyoona hakuna tatizo, Mgeni anakuja anamilki ardhi hector 1000, hapo hapo mwenyeji anaomba hekari 10 ananyimwa.

Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Hivi Tanganyika siku hizi ardhi imekwisha ndio maana mnawanyooshea wanaochukua ardhi kwa wingi?

Au ndio wivu wa Kike?

Wakuu mwenye picha hebu aweke hapa, tulione hilo vazi la kamanda wetu - kina dada wa CCM mmeona chama chenye ubunifu? siyo kila siku kuvaa vitenge mnatushosha kuwaangalia.

Sina Uhakika na wizara ambayo inafanya Master Plan Ya Miji yetu, Je ni Hii wizara? Kwani nakumbuka Tangu Tupate Uhuru Wizara Hii imekwenda likizo To Hell!! Jamani mama Tubaijuka amka for a Change!! Plan our Cities

Wakuu mwenye picha hebu aweke hapa, tulione hilo vazi la kamanda wetu - kina dada wa CCM mmeona chama chenye ubunifu? siyo kila siku kuvaa vitenge mnatushosha kuwaangalia.
Hivi hili neno lina maana gani? hebu tufafanulie..

hakuna kipya

mbona mnapenda kujisifia sana???

THREAD HAINA MSHIKO

POPOMPOO KABISA. Ulitaka wawasifie magamba ndio iwe na mashiko.

Tatizo lako nini? Si ameuliza tu kama Mdee kamshukuru mwenzie?
Kama gamba la bunge vile; wanaosema ndiyo waseme ndiyoooo!!!! wasiafiki waseme siyoooooooooooo!!!
crap thinkers of the century!!!!!!!!!!!!!

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom