Halima Mdee adai kuwa na Tsh Bilioni 10 kwenye akaunti yake ya Benki

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Halima Mdee akichangia katika bajeti ya Wizara ya Ardhi na Makazi, amesema haya

"Huwezi kuniambia tunakosa bilioni 10, ambayo nina uhakika Lukuvi kwa uzoefu wake kwenye akaunti yake ana bilioni 10, kama mimi ninayo yeye anakosaje, tumsaidie Waziri apate bilioni 10 tuondokane na matatizo ya migogoro ya ardhi, wananchi wanateseka"

mdee.jpg

Picha: Halima Mdee akiwa bungeni
 
Back
Top Bottom