Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
watu wana jitahidi kufanya kazi lakini matokeo yake unachokipata kina ishia kwenye mahitaji mhimu na wakati mwingine kisitoshe mfano unapokosa umeme na mafuta unataka watu watumie mkojo kuendesha shughuli zao...au umejiari kwnye kazi ya kuchomelea vyuma unachomelea na mkaa kama hakuna umeme...acha kufikili kwa kutumia masaburi wakati ukweli unaujua na unauonaKaa nyumbani, kula, kunya, lala, usubiri JK akuletee maisha bora!