Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

Tunataka kusikia hao Maafisa Ardhi wanaojifanya Miungu watu kwa kudhulumu viwanja vya watu, wanachukuliwa hatua gani? Hasa katika miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza nk---nk.

wengi wao ni mamilionea wakubwa sana, cha kushangaza hawa takukuru hawajawachunguza kabisa hawa viumbe, yaani kupata title deed ni ishu kubwa sana kuipata
 
Kuna rais alisha wahi kukataa picha rasimi eti alitoka vibaya huku wanacnhi wake wanamatatizo chungu mzima huyo ni raisi wa nchi au sharobaro tu...

Wakasema picha aliyopiga alikuwa amechoka kutokana na safari nyingi za kuutafuta urais...teh teh teh teh.

Kiongozi wake mwingine akakataa kabisa kuwa na mkutano na waandishi wa habari aliowaalika yeye mwenyewe. Kisa, watu wenye kamera za video kwa ajili ya TV hawakuwepo. Wamezoea kuuza sura. Ndiyo maana wengind walichukia Halima Mdee aliwaambia hawajaenda Bungeni kuuza sura.
 
Big up CDM Big up Mdee! tuendelee kufichua uozo hadi kieleweke na tuwapeleke mahakamani siku muafaka ikifika
 
Kazi yake ni kupiga picha na kutunza kumbukumbu za maandamano ya CDM, sasa naona amekuwa idle kidogo. Au inawezekana pia ni mbunge maalum kwa jamii forums.

Kazi ya Vicky Kamata ni nini?
 
Kuna rais alisha wahi kukataa picha rasimi eti alitoka vibaya huku wanacnhi wake wanamatatizo chungu mzima huyo ni raisi wa nchi au sharobaro tu...

hahahaaaaaa... mkuu umenikumbusha mbali... hivi kwa nini hatukujua kipindi hicho kuwa tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Kuna rais alisha wahi kukataa picha rasimi eti alitoka vibaya huku wanacnhi wake wanamatatizo chungu mzima huyo ni raisi wa nchi au sharobaro tu...

Tena ni baada ya picha kuwa imeshatumiwa zaidi ya mwaka mmoja
 
Tatizo lako una Mgamba mengi ndo maana unaisi wenbzio wanasikia joto,Wakati nyie mnalala Bungen
 
Huu uzi umekaa kishabiki shabiki bila fact zozote
angalau Mtazamaji na FJM wamejaribu kuchangia ki greta sinka
 
mdee%20hoja.jpg

Halima Mdee Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam, akisoma hotuba yake bungeni leo huka kajaa tele kwenye magwanda ya Chadema.​
 
Since i started voting for the first time i am proud to say that , i am very proud of vote. thank you Halima.
 
Tatizo la watu humu matatizo yao yote waliyonayo wanayarelate na Kikwete,
tukumbuke kikwete ni mtendaji kama watendaji wengine serikalini!
Kwanini usianze kumlaumu balozi wako wa nyumba kumi kumi unakimbilia mpaka level ya raisi?
Kuna mabo mengi sana ambayo tuanaweza kuyatafutia ufumbuzi sisi wenyewe lakini tunataka Kikwete atusaidie!!

Kiongozi asiweza kuwa na mtazamo na kuwaelekeza viongozi walio chini yake, anapoteza sifa ya kuwa kiongozi mkuu. (a leader of leaders)
 
Kwa mtazamo wangu mimi naona serikali ya ccm inaunda bomu kama lililolipuka huko Zimbabwe baada ya wananchi kugundua kwamba ardhi ya Zimbabwe ni mali ya wazawa waliishikiza serikali ya Rais Robert Mugabe kuwaruhusu wananchi kuvamia wawekezaji wa kigeni na kurejesha ardhi ya wazawa mikononi mwa wananchi wa Zimbabwe.Ilipofikia hapa nchi za ulaya ziliiwekea serikali ya Mugabe vikwazo vya uchumi na mpaka sasa hivi wananchi wa Zimbabwe wanaishi maisha ya kubahatisha. Je Watanzania watakapo kuwa wajanja na kubaini kwamba ardhi yao inauza na viongozi wa nchi yao wenyewe kwa wawekezaji wageni je unategemea watachukuwa hatua gani kama siyo hiyo waliochukuwa wananchi wa Zimbabwe? Watanzania hatuitaji kufika huko bali tunataka kuona sheria kali zikichukuliwa kwa viongozi hawa ambao wanaunda bomu hili likisha lipuka wao wanakimbia kuishi nje ya nchi na kutuacha sisi walalahoi tukiuwana.
 
Back
Top Bottom