Mungu aendelee kumlinda kwani bado tunahitaji mchango wake- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!Willie @ NYC, USA
- Wakuu wote heshima mbele sana na SALUTE! Hapa nipo na mama tunasoma ujumbe wote kwa kweli sio siri kuna ya kuchekesha sana na kuhuzunisha pia, lakini one voice Taifa kwanza!
- Mama anawashukuru sana wale wote mnaoomba arudi mjengoni mapema, maana you made her day!
Much Respect People!
Willie @ NYC, USA.
Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu Mola wa walimwengu wote, amzidishie afya na siha njema mzee wetu Malecela, nawe uwe na subra kwao Insha'Allah.- Wakuu wote heshima mbele sana na SALUTE! Hapa nipo na mama tunasoma ujumbe wote kwa kweli sio siri kuna ya kuchekesha sana na kuhuzunisha pia, lakini one voice Taifa kwanza!
- Mama anawashukuru sana wale wote mnaoomba arudi mjengoni mapema, maana you made her day!
Much Respect People!
Willie @ NYC, USA.
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!
- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!
Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!
Willie @ NYC, USA

Hongera sana kwa kumleta mzee nyc usa Baada ya kuugua,lakini huu ndio muda muafaka wa kumuuliza kwanini hawakujenga hospital nzuri nyumbani kipindi wako kwenye power?
Yeye anaweza kuja kwako mzee wa USA akiugua lakini je kwa wale wasiojiweza vp?
alipanga kujenga akiwa raisi bahati mbaya waka mchakachua...lol