Natamani ile thread ya mzee malecela irudi lol........unawashukuru JF kwa ajili gani? wakati karibu nusu yao walichangia RIP? bora ungebadilisha head ya thread badala ya kushukuru JF ungekuwa more specific kwa waliokutia moyo na kukufariji
Ni ushauri tu, washukuru manesi na madokta wa kizungu waliomtibia ..pia walipa kodi woooote watanzania waliofanikisha matibabu hayo ilihali wao wamelazwa chini temeke hospitali...na wake zao ******ambao serikali imewapelekea ambulance aina ya bajaji kuwawahisha hospitali ambazo zipo kilometa 90 kutoka vijiji wanakoishi
Binafsi naelekea kupanda daladala kurudi nyumbani nikitegemea kuwasili jioni kwa sababu ya foleni....tatizo ambalo baba yako alilikuta, kaliacha na sasa tukamuuguza kwa kodi zetu tukiendelea kuumia
Apone haraka mzee malecela arudi bongo kusaidia mchakato wa kuvuana magamba
mix with yours
@Josephine naomba kutofautiana na wewe kuhusu @ New York, huyu akusomeshwa na kodi zetu kufikia hapo, bali ni pilika pilika zake za kuzamia meli ndio zimemfikisha hapo, swala la kielimu huyu bwana hajaigharimu serikali kabisa maana elimu yake ni ya kuunga unga au unaweza kuita ya ujanjaujanja.umenigusa sana.Nikweli William ulipaswa kuwashukuru Watanzania ambao kodi zao ndizo zilizotumika kumlipia matibabu kwani bado anapata mafao kama Waziri Mkuu mstaafu.
Naungana na mchangiaji kwamba alifanya nini wakati akiwa kiongozi kuhakikisha matibabu endelevu na ya uhakika yanapatikana hapa Tanzania?
Je angekuwa ni mtu wa kawaida angeweza kuja huko not only that William umesomeshwa kwa kodi zetu mpaka umefika hapo.
Please be fair unapotoa maoni yako.Inauma sana.
Baba yake alikuwa ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais, ni haki yake kufunguwa thread, kama baba yako anaitwa Nguvumali hata ukimuanzishia thread ni nani anaemjuwa hapa?Hivi hii thread ina tija gani kama kila member akianzisha thread pindi baba yake akiuugua itakuwaje ni wazo tu.
Miafrika ndivyo ilivyo hata Dito alipoua kwa kumpiga risasi yule deiwaka watu walienda kumpa pole Dito badala ya wafiwa.Baba yake alikuwa ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais, ni haki yake kufunguwa thread, kama baba yako anaitwa Nguvumali hata ukimuanzishia thread ni nani anaemjuwa hapa?
Natamani ile thread ya mzee malecela irudi lol........unawashukuru JF kwa ajili gani? wakati karibu nusu yao walichangia RIP? bora ungebadilisha head ya thread badala ya kushukuru JF ungekuwa more specific kwa waliokutia moyo na kukufariji
Ni ushauri tu, washukuru manesi na madokta wa kizungu waliomtibia ..pia walipa kodi woooote watanzania waliofanikisha matibabu hayo ilihali wao wamelazwa chini temeke hospitali...na wake zao ******ambao serikali imewapelekea ambulance aina ya bajaji kuwawahisha hospitali ambazo zipo kilometa 90 kutoka vijiji wanakoishi
Binafsi naelekea kupanda daladala kurudi nyumbani nikitegemea kuwasili jioni kwa sababu ya foleni....tatizo ambalo baba yako alilikuta, kaliacha na sasa tukamuuguza kwa kodi zetu tukiendelea kuumia
Apone haraka mzee malecela arudi bongo kusaidia mchakato wa kuvuana magamba
mix with yours
@Josephine naomba kutofautiana na wewe kuhusu @ New York, huyu akusomeshwa na kodi zetu kufikia hapo, bali ni pilika pilika zake za kuzamia meli ndio zimemfikisha hapo, swala la kielimu huyu bwana hajaigharimu serikali kabisa maana elimu yake ni ya kuunga unga au unaweza kuita ya ujanjaujanja.
Mbona unarudia kilekile nilichokwambia? kwa nini unamtaja Ditto, kwani wewe huwajui watu wengine ambao wamewahi kuuwa, kwa nini usiwataje akina Behobeho?Miafrika ndivyo ilivyo hata Dito alipoua kwa kumpiga risasi yule deiwaka watu walienda kumpa pole Dito badala ya wafiwa.
- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!
- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!
Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!
Willie @ NYC, USA