- Wananchi JF, ninaomba kuwashukuru kwa sala na salam zenu za kheri kwa mzee wetu Malecela, hatimaye juzi ametua hapa US, akifuatana na mama, ni mzima wa afya sana na tunamshukuru sana Mungu kwa miujiza yake!
- Ninawashukuru JF wote mliotufariji na hata wale wengine pia, ndio Demokrasia wote nimewasikia sana, lakini ninawashukuru sana kwamba sometimes tunaweza kuweka siasa na tofauti zetu pembeni, tukawa bina-adam na kurudi tena kwenye tofauti zetu za kawaida tukijali Taifa kwanza!
Love you all people! Thaanks JF, ndio maana hatupo kidogo, lakini tutarudi soon 100% tena!
Willie @ NYC, USA
amekuja kula penshion US siyo?, ndiyo faida ya kuzaa watoto wenye akili ---- (joking:caked🙂
mpe pole mzee wetu - tunazidi kumwombea apone fasta aje tuandamane pamoja kudai umeme kwa ngereja.
Ila kumbuka jamaa kakwambia uache kutetea posho -- lol -