HALI YA MZEE MALECELA: Ninawashukuru Sana JF

HALI YA MZEE MALECELA: Ninawashukuru Sana JF

Status
Not open for further replies.
Nimesoma hapo chini nikaona niongezee opinions zangu ingawa najua kabisa huyu William ni one of few lost people Tanzania. Kwanini Malecela anakuja US wakati ccm imetumia funds nyingi sana kuwaelimisha madaktari, manesi, na hata kujenga mahospitali kama Muhimbili, Rufaa na kupewa KCMC? Tanzania haiwezi kumtibu Malecela?

Hizo investments na funds za serikali tangu uhuru hazitoshi kumtibu Malecela Tanzania?
What happened funds za EPA na bilions za Dowas si zingeweza kumtibu Malecela Tanzania?

Wananchi wengine wanaokufa Tanzania hivi tunavyojadili Healthcare yetu nani atawapeleka US, UK au India? Au wao hawana right to live like your father?

Hivi funds anazotumia Baba yako huko US amezipata wapi? Uliamua kushare hizi inform hivyo hii sio privacy tena tupe everything what happened na update hizi kwa wananchi. It's not matter of your family only here, Tanzanians have right to discuss Healthcare issues na usifungwe peke yako mpe nafasi hata January, Ridhiwan na Nape wajumuike kwenye discussions.

Aibu tupu kwa nchi kuendelea kupeleka mafisadi na wananchi wachache nje ya nchi kwa matibabu wakati nchi ilipata uhuru 1961. Reports kama hizo hapo juu, proves that ccm was and still lacking solutions to our issues.
 
Nimesoma hapo chini nikaona niongezee opinions zangu ingawa najua kabisa huyu William ni one of few lost people Tanzania. Kwanini Malecela anakuja US wakati ccm imetumia funds nyingi sana kuwaelimisha madaktari, manesi, na hata kujenga mahospitali kama Muhimbili, Rufaa na kupewa KCMC? Tanzania haiwezi kumtibu Malecela?

Hizo investments na funds za serikali tangu uhuru hazitoshi kumtibu Malecela Tanzania?
What happened funds za EPA na bilions za Dowas si zingeweza kumtibu Malecela Tanzania?

Wananchi wengine wanaokufa Tanzania hivi tunavyojadili Healthcare yetu nani atawapeleka US, UK au India? Au wao hawana right to live like your father?

Hivi funds anazotumia Baba yako huko US amezipata wapi?Uliamua kushare hizi inform hivyo hii sio privacy tena tupe everything what happened na update hizi kwa wananchi. It's not matter of your family only here, Tanzanians have right to discuss Healthcare issues na usifungwe peke yako mpe nafasi hata January, Ridhiwan na Nape wajumuike kwenye discussions.

Aibu tupu kwa nchi kuendelea kupeleka mafisadi na wananchi wachache nje ya nchi kwa matibabu wakati nchi ilipata uhuru 1961. Reports kama hizo hapo juu, proves that ccm was and still lacking solutions to our issues.

- Huku anatumia hela zetu watoto, pole sana naona unahangaika sana na kubadilika badilika lakini unasumbuka bure, Malecela sio fisadi na hawezi kuwa hajawahi kuwa hata siku moja, wananchi wa Tanzania wanawajua mafisadi! ha! ha! zile janja za mafisadi kumchafua kila kiongozi ndio maana wanaitwa mafisadi na sasa wamekwisha na hawatakiwi CCM tena!

- Again mzee anaendelea vizuri sana na mazoezi ya kila asubuhi na jioni, na soon atarudi nyumbani bongo!

Willie @ NYC, USA
 
- Huku USA anapumzika kwa gharama zetu, watoto wake we have enough for that, .

Na mwenyezi mungu atawalipa kwa hayo mnayoyafanya, mimi naamini ni kujituma kwenu na kuwa na nidhamu ya kazi mmefanikiwa kumpa mapumziko mzee wenu. Naamini mzee malecela is very proud of you.
 
bimbo malecela!!
unapozungumzia President Washington huzungumzii uimara wa uchumi wa USA ispokuwa unazungumzia thevalues of being together as a community- Washington hakujenga uchumi!!! Uchumi wa Marekani ni matokeo ya policies walizoweka baada ya 1929 great depression - porojo zako za kitanzania wapelekee wapigaporojo wenzio!!!
Wakati Washington mwaka 1789 alipochaguliwa kuwa rais wa kwanza, marekani haikuwa na nguvu za kiuchumi na ilikuwa ni aggregation ya 13 states - kwahiyo sioni unamuhusishaje na kukua kwa uchumi. General Washington baada ya vita thence uhuru wa marekani nia yake ilikuwa ni kuwaunganisha wamerakani(whites)na si kukuza uchumi - ni afadhali ukae kimya watu wakafikiri ni mpumbavu kuliko kufungua kinywa ukawapa confirmation!!!
 
bimbo malecela,
of course Watanzania wanawafahamu mafisadi na ktk hao yupo hata baba yako, wewe inawezekana unamuona baba yako ni "msafi" kwasababu unawajua wengine ambao ni less wasafi ukilinganisha na yeye - that does't comfort me at all!!! waitaliano wanapowazungumzia wanasiasa wao wanapenda kusema " il più pulito c'ha la rogna" ukitafsiri kwa kiswahili ni " msafi kuliko wote ana papasi mwilini" ...just imagine hao wengine wakoje!!! The same applies to CCM politicians...
 
quote_icon.png
By Balantanda
You got it wrong pal............

Hakuna aliyezuia mtu kumjadili JSM hapa............Nilichoshauri ni kuanzisha thread nyingine ambayo mtamjadili Malecela na mapungufu yake kwa mapana yake.......Thread hii ibaki kwa ajili ya kumpa pole babu Cigwiyemisi na Will kuwashukuru wajumbe basi...............Hapa itakuwa kuchanganyana tu...........
Hapana Balantanda hata msibani historia fupi ya marehemu husomwa kwa hiyo huwezi kusema pole tu na kuondoka bila kugusia hata neno moja la ku justify pole yako kama ni kwa mazuri au mapungufu yake.
 
bimbo malecela!!
unapozungumzia President Washington huzungumzii uimara wa uchumi wa USA ispokuwa unazungumzia thevalues of being together as a community- Washington hakujenga uchumi!!! Uchumi wa Marekani ni matokeo ya policies walizoweka baada ya 1929 great depression - porojo zako za kitanzania wapelekee wapigaporojo wenzio!!!
Wakati Washington mwaka 1789 alopochaguliwa kuwa rais wa kwanza, marekani haikuwa na nguvu za kiuchumi na ilikuwa ni aggregation ya 13 states - kwahiyo sioni unamuhusishaje na kukua kwa uchumi. General Washington baada ya vita thence uhuru wa marekani nia yake ilikuwa ni kuwaunganisha wamerakani(whites)na si kukuza uchumi - ni afadhali ukae kimya watu wakafikiri ni mpumbavu kuliko kufungua kinywa ukawapa confirmation!!!

- Unajua mpumbavu huwa ni rahisi sana kuita wengine wapumbavu kwa sababu hudhani wengine wote ni wapumbavu kama yeye, kama huelewi kwamba msingi wa uimara wa USA chanzo chake ni foundation iliyowekwa na kiongozi wao wa kwanza wa taifa, basi ndio hasa upumbavu tena ni ujuha wa hali ya juu sana ndio unajitapikia maneno mengi sana ya kipumbavu sana ukidhani una akili sana kumbe ni mpumbavu namba moja!

- Ha! ha! eti unasema George Washington hana anything to do na uimara wa maendeleo ya USA leo, pumbavu sana wewe ni maraisi wangapi wa zamani wa US ambao wamepewa Holiday siku ya kuzaliwa kwao? Acha upumbavu wewe kaa kimya maana ni mpumbavu sana, kama hujui kwamba Rais wa kwanza wa taifa ndiye anayeweka msingi wa maendeleo au kushindwa kataifa kuendelea basi wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote Duniani!

- Ha! ha! ha! hizo hela za ku-deal na Depression zilitoka wapi, si kwenye hazina ya taifa iliyoanzishwa na nani kama sio rais wao wa kwanza, wewe kweli ni pumbavu namba moja sana mkuu! ha! ha! hazina yetu ilianzisahwa na nani kama sio Rais wa kwanza, sasa kama msingi ulikuwa kama unavyotakiwa kwa nini kwa wengine wako imara sisi tunahangaika na umeme leo 2011!

Willie @ NYC, USA.
 
bimbo malecela,
of course Watanzania wanawafahamu mafisadi na ktk hao yupo hata baba yako, wewe inawezekana unamuona baba yako ni "msafi" kwasababu unawajua wengine ambao ni less wasafi ukilinganisha na yeye - that does't comfort me at all!!! waitaliano wanapowazungumzia wanasiasa wao wanapenda kusema " il più pulito c'ha la rogna" ukitafsiri kwa kiswahili ni " msafi kuliko wote ana papasi mwilini" ...just imagine hao wengine wakoje!!!

- Mafisadi wote Slaa alitoa vielelezo wakasema wataenda kwenye sheria lakini they never did, othewrwise maneno yako wewe sio sheria wala final word on anything, kwenye hiyo list yake kule Tabora Slaa anajua kwamba hakutenda haki kwake na kwa chama chake, kama alivyomfanyia yule mtu aliyegombea nye ubunge karatu akamsingizia maneno mengi ya uongo, unajua uongo ni tabia au hulka!

- Demokrasia inaruhusu mmoja kuamini Mandela ni a freedom fighter na mwingine kuamini ni terrorist!

Willie @ NYC, USA.
 
Hata Hosni Mubarak alikuwa anaziita kelele za mlango, bila kusahau akin Ben Alì!!
Swali langu ni rahisi tu, JE NYERERE ALIMUITA FISADI malecela MUHUNI AU HAPANA???
JE ALIMFANANISHA NA YAI VIZA AU HAPANA???? na kama jibu ni ndiyo, SWALI LANGU NI HILI malecela AMEACHA UHUNI LINI???
??
You guys should know that i'm not amog those suffering from the so called stockholm syndrome thence there is no way you can buy my sympathy!!!
Nyerere alimpa "madaraka" ya kuongoza huyo malecela kwasababu alikuwa anaweza kum-monitor. Je unaweza kuwaeleza watu hapa jamvini baba yako amefukuzwa kazi mara ngapi na nyerere???
Je ni kwa nini Nyerere alimfukuza malecela ktk nyumba aliyokuwa akiishi pale oysterbay karibu na kwa mzee Matovu???
Be serious, sasa ninaamini kuwa tunda huwa halianguki mbali na mti - hata wewe ni muhuni kama baba yako!!!
Hata mimi nakumbuka Nyerere aliwahi kumwita Malecela muhuni nafikiri hadi akaandika kitabu cha Uongozi wetu na Hatima ya nchi yetu hili hata Willy hawezi kubisha.
Willy anaposema hizi ni kelele za mlango ni ulimbukeni tu mtu mstaarabu hawezi kusema hivyo au inawezekana kuwa ni hulka ya ukoo maana nasikia kuna wakati Mzee aliahidiwa kupewa cheo fulani hata kabla ya siku mama akaangusha bonge la pati kule Idodomya Nyerere aliposikia alikasirika sana aka cancell ile appointment kwa hiyo kama ulivyosema tunda huangukia usawa wa mti.
 
Na mwenyezi mungu atawalipa kwa hayo mnayoyafanya, mimi naamini ni kujituma kwenu na kuwa na nidhamu ya kazi mmefanikiwa kumpa mapumziko mzee wenu. Naamini mzee malecela is very proud of you.
Mungu ni mwelevu sana kipimo ulichowapimia wengine ndicho utakapopimiwa leo kikombe alichotumia Mubarak kuwapimia wamisri ni kile kile wanachotumia kumpimia yeye.
 
narudia kukuelimisha Washington hakujenga uchumi wa Marekani, it was not his objective, yeye nia yake ilikuwa ni kuunganisha"nchi mbalimbali" zilizokuwa zinatoka kwa wakoloni mbalimbali among others wafaransa na waingereza - so again nia yake ilikuwa ni the so called the sense of community! labda haufahamu kuwa americans have known even the civil war and if not mistaken this was between 1861-1865 so there is no way you can think of G.Washington as author of american economic prosperity rather as that of uniting the americans(whites) then decades later if not a century later the economy grew.
I know that intelligence is not acquired by induction so you can even stay in NYC still be a dumb!!! Kama ulivyokuwa kihiyo shule (kwa taarifa nilizonazo) unaendelea na ukihiyo wako hata states.
 
bimbo malecela!
washington alikuwa rais kuanzia 1789-1797 na great depression ilikuwa ni 1929 - humu jamvini nimejifunza msemo akili za kuambiwa changanya na za kwako(provided unazo)
 
Hata mimi nakumbuka Nyerere aliwahi kumwita Malecela muhuni nafikiri hadi akaandika kitabu cha Uongozi wetu na Hatima ya nchi yetu hili hata Willy hawezi kubisha.
Willy anaposema hizi ni kelele za mlango ni ulimbukeni tu mtu mstaarabu hawezi kusema hivyo au inawezekana kuwa ni hulka ya ukoo maana nasikia kuna wakati Mzee aliahidiwa kupewa cheo fulani hata kabla ya siku mama akaangusha bonge la pati kule Idodomya Nyerere aliposikia alikasirika sana aka cancell ile appointment kwa hiyo kama ulivyosema tunda huangukia usawa wa mti.

- Mbona unakwepa ile hoja ya Rais wa kwanza ha! ha! ha! mbona husemi kwa nini hili taifa limedumaa na maendeleo! ha! ha! unakwepa kukubali kwamba msingi huwekwa na kiongozi wa kwanza ha! ha! ha!, hayo yalikuwa ni maneno ya siasa ili aje amuweke Salim au mkapa, akafanikiwa kumuweka Mkapa, NBC ikauzwa bure na tuliyeambiwa ni Mr. Clean! ha! ha!

- Mwalimu can you imagine Malecela angegombea uongozi na kivuli, leo tungesema nini? ha! ha! ha! ha! ha! yaani kweli wewe mtumzima mwenye akili timamu na sio muhuni kama wengine, lakini unagombea uongozi na kivuli ha! ha! ha! ha! na unaandikia wengine vitabu ha! ha! na kuna wanakuamini na vitabu vyako, ndio maana hili taifa tuna safari ndefu sana! ha! ha! Wewe Mwalimu masikini wa Mungu mambo ya kugombea uongozi na vivuli ndio yamelifikisha hili taifa tulipo sasa, amuka sasa weewe!mwalimu mzima majuu bado huelewi!

Willie @ NYC, USA.
 
narudia kukuelimisha Washington hakujenga uchumi wa Marekani, it was not his objective, yeye nia yake ilikuwa ni kuunganisha"nchi mbalimbali" zilizokuwa zinatoka kwa wakoloni mbalimbali among others wafaransa na waingereza - so again nia yake ilikuwa ni the so called the sense of community! labda haufahamu kuwa americans have known even the civil war and if not mistaken this was between 1861-1865 so there is no way you can think of G.Washington as author of american economic prosperity rather as that of uniting the americans(whites) then decades later if not a century later the economy grew.
I know that intelligence is not acquired by induction so you can even stay in NYC still be a dumb!!! Kama ulivyokuwa kihiyo shule (kwa taarifa nilizonazo) unaendelea na ukihiyo wako hata states.

- Unaweza kuwa Mwalimu wa University majuu na bado ukawa mbumbu, ukahindwa kujua kwamba Rais wa kwanza wa taifa akiwa mjinga na taifa litakwua la wajinga milele, na kwamba akiwa na akili taifa litakua vile vile, matatizo yako ni kwamba huelewi kwamba zile enzi zenu watu Musoma kututisha tisha wengine ziliisha!

- Na kiongozi kugombea na kivuli ziiilisha pia!

Es!
 
What I would like to know is this Article a Political? or a Social? Is there any political thing we can gain and discuss?...

It seems that Jamii Forum has Class; there are people here whom have their ways with power and make this Forum not Free and Independent at all; It said that power corrupts, but actually it's more true that power attracts the corruptible. The sane are usually attracted by other things than power.
 
bimbo malecela!
washington alikuwa rais kuanzia 1789-1797 na great depression ilikuwa ni 1929 - humu jamvini nimejifunza msemo akili za kuambiwa changanya na za kwako(provided unazo)

- Great Depression ilishugulikiwa na hazina ya US, kwa kuwekeza sana kwenye infrastructure ni kutokana na msingi mzito wa uongozi uliowekwa na baba yao wa taifa George Washington, maendeleo ya US ni ya 300 years na sisi ni 50 years, yanaianzia Rais wa kwanza aliposhika nchi!

Es!
 
bimbo malecela,
wakati washinton anakuwa POTUS nchi ilikuwa imetoka katika independecy war iliyodumu kwa miaka 8, na waliokuwa wanapigania uhuru hawakuwa na background ya aina moja so immediately after declaring independency watu huwa hawafikiri uchumi - it's just common sense - (though common sense is not that common as the terminology implies) wanafikiri namna ya ku-create and thence strengthen the being together bond - mimi ninaelewa kwa mtoto wa fisadi kama wewe anafikiri matunda ya uhuru ni "uchumi kwanza" - nitafafanua ukihitaji!!!
ninajua inawezekana kabisa ninakimbizana na upepo kwa maana ya kuwa uwezo wako wa kuelewa ni mdogo lakini ninaendelea kuandika kwa manufaa hata ya wanajamii wengine...
 
What I would like to know is this Article a Political? or a Social? Is there any political thing we can gain and discuss?...

It seems that Jamii Forum has Class; there are people here whom have their ways with power and make this Forum not Free and Independent at all; It said that power corrupts, but actually it's more true that power attracts the corruptible. The sane are usually attracted by other things than power.

- Malecela ni kiongozi wa taifa so hapa ni sawa sawa vipi matusi ymekushinda sasa? unaanza kulilia utawala wa JF ukuokoe? Mwalimu mzima majuu tena wa University akili kama kawaida ni ile ile ubongo ubongo tu, zile enzi zenu za kututisha tisha na usalama kila mahali hata tukinywa bia mnahesabu visoda hakuna tena, sasa tuko huru unaona mnavyopwaya kwa hoja, badala ya kunadika kitabu kuhusu kuuuzwa kwa NBC kwa bei poa unaandika kitabu kuhusu Muungano, ambao tayari upo kwenye ICU na bado wapo wanaokushanglia ndio maana taifa limedumaa, maana siku zote tulikuwa tukilazimishwa kujadili pumba za Muungano, badala ya uishus muhimu za taifa kama bara bara na sheria, sasa mmekalia kulia Malecela, maana ndiye aliyeleta idea za mtu kugombea na kivuli chake!

- Nitajie taifa moja tu lenye maendeleo ambalo huko nyuma viongozi wake wa taifa walikuwa wanagombea na vivuli vyao!

Mungu Aibariki Tanzania.

Es!
 
Unafikiri kuna wananchi wanakuamini na misemo yako Baba yako hajachangi kumaliza Taifa letu na ndugu zetu. Pole sana na mawazo yako ya kimaskini na najua majibu yako hata kabla hujaandika ila nilitaka uweke tena rekodi zako hadharani na utumbo wako. Hayo maswali mengine mbona umejitia upofu?

Kwanini Malecela anakuja US wakati ccm imetumia funds nyingi sana kuwaelimisha madaktari, manesi, na hata kujenga mahospitali kama Muhimbili, Rufaa na kupewa KCMC? Tanzania haiwezi kumtibu Malecela?

Hizo investments na funds za serikali tangu uhuru hazitoshi kumtibu Malecela Tanzania?
What happened funds za EPA na bilions za Dowas si zingeweza kumtibu Malecela Tanzania?

Wananchi wengine wanaokufa Tanzania hivi tunavyojadili Healthcare yetu nani atawapeleka US, UK au India? Au wao hawana right to live like your father?

Hukuyaona hapo juu? Kweli ni nyie ndio manatufanya Watanzania wajinga na maskini, kumbe nyie ndio sources of failures in Tanzania. Eti Baba yako mmemlipia na fedha za watoto, tuelezeni kazi mnazofanya huko US na kulipwa kiasi hicho cha kuweza kugharamia medical bills za NY hospitals kama sio pesa za serikali ya Watanzania, prove to us with payment records and your account balances. Endeleeni kuendelza sera za Ben Ali, Gadaffi na Mubarak Tanzania na tutaona adhabu zenu zitakuwa za aina gani. Sisi humu JF hatuna slave's mentality kama mnavyowafanya Watanzania ignorant na wanachama wenu wa ccm,this is 2011.

Back
Top Bottom