Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Lakini wanajf tuache unafiki
ikubukwe na sisi tutazeeka
Hii stage wote tutailitia

Nimeumia Sana na Comments za wadau hapa
 
Mi pia sijaona sababu ya yeye kujumuika kwenye hilo tukio wakati afya haimruhusu

Cha ajabu the wife is so happy,mi singeweza, na singemruhusu mume wangu ataabike kisa shughuli, tungekaa zetu nyumbani tupumzike tu
Duh! Si wangemuacha apumzike nyumbani tu!
[emoji15]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
ilibaki kiduchu aanguke,mpk anataka kupiga magoti,mwee mke anambuluta tu
 
Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
Hayuko hoi bin taaban
Huo ni ugonjwa wa Parkinson's
 
Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
Ndio mjue urais si kura tu! Chadema halielewi hili sijui walikula maharage ya wapi
 
That’s why I love you mtende ❤️😘

Mi pia sijaona sababu ya yeye kujumuika kwenye hilo tukio wakati afya haimruhusu

Cha ajabu the wife is so happy,mi singeweza, na singemruhusu mume wangu ataabike kisa shughuli, tungekaa zetu nyumbani tupumzike tu
 
Msiweke pesa mbele kwenye kia kitu, hebu waati mwingine tuache pesa pembeni, mwanaume uliyesimama nae madhabahuni ukala kiapo cha ndoa ni sehemu ya maisha yako na huwezi kumsaliti kwa sababu ya ugonjwa au hali ya uchumi, kiapo kina maana kubwa..sisemi kwamba waawake wote wanafanana hapana lakini mume wako wa ndo ni sehemu ya maisshcyako, ukiisaliti ni sawa na umejisaliti
Hakuna cha shida na raha hapo ni pesa tuu inazungumza, kwa hali hiyo si mateso tuu hayo? Sasa fikiria huyu jamaa na pesa yake afya mbovu hivo angekuwa maskini anayelimia tumbo si angekuwa ashakufa. Hapa ndo tujue tunaishi kwa neema ya Mungu tuu pesa sio kila kitu maishani.
 
Mi pia sijaona sababu ya yeye kujumuika kwenye hilo tukio wakati afya haimruhusu

Cha ajabu the wife is so happy,mi singeweza, na singemruhusu mume wangu ataabike kisa shughuli, tungekaa zetu nyumbani tupumzike tu
Hapo ni kanisani, je asiende hata kanisani?
 
Suala la kuumwa si la utani lakini ukweli Huyu mzee baba ni mgonjwa na anahitaji maombi yetu.Amekuwa Kama roboti
View attachment 1153464
Kwani amekutuma utuombe tumuombeee...mbona yeye anauwezo wa kuongea vizuri na pia anaMke wake ambaye angetumika kuwasilisha ombi lake hilo kwa umma wa watanzania,sidhani Kama wewe Ni mtu sahihi Sana kutuomba tumuombee Tena baada ya kuwa UMESHAMPIMA KWENYE MAABARA YAKO na kugundua kwamba EL Ni mgonjwa Sana.Ila,sawa[emoji120][emoji15]
 
Hahahahaha lol! Niko aisee sema labda tunapishana tu. Nitatia mguu Tanzania yote lakini si chato kwa huyo nduli na dikteta.

I love you too, mekumisi, sijakuona huku muda mrefu..au ulienda chattle?
 
Back
Top Bottom