Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Kama huamini jaribu.
Kama kifo sio adhabu mbona mahakama wanaojua sheria kuliko wewe wanawaadhibu watu kwa kifo.
No man can understand how the mother nature works! Sheria zipo kwa ajili ya binadamu kulingana na uelewa wake.. Kifo sio adhabu bali ni transition toka sehem moja kwenda nyingine.

Kama unafikiri kifo ni adhabu, unafikiri mtoto mchanga aliyepoteza maisha deserved such a punishment??
 
Kila nafsi itaonja u mauti na kifo ni wajibu na siyo adhabu,muda ukifika lazima utakufa tu mengine kama hilo la adhabu ya kifo kutolewa na mahakama au kugongwa na gari,maradhi nk..nk..ni sababu tu za kifo.
 
Duh!!!!
Akili za kukariri hizi..…
Nijaribu kufanya nini ili nife?
Kama huamini jaribu.
Kama kifo sio adhabu mbona mahakama wanaojua sheria kuliko wewe wanawaadhibu watu kwa kifo.
 
Well said ndugu...
Kuna watu wanaamini kifo ni adhabu kumbe ni kukariri vibaya tu.
No man can understand how the mother nature works! Sheria zipo kwa ajili ya binadamu kulingana na uelewa wake.. Kifo sio adhabu bali ni transition toka sehem moja kwenda nyingine.

Kama unafikiri kifo ni adhabu, unafikiri mtoto mchanga aliyepoteza maisha deserved such a punishment??
 
Swadakta...
Kila nafsi itaonja u mauti na kifo ni wajibu na siyo adhabu,muda ukifika lazima utakufa tu mengine kama hilo la adhabu ya kifo kutolewa na mahakama au kugongwa na gari,maradhi nk..nk..ni sababu tu za kifo.
 
Kama anatembea na kuonesha alama ya dole, bado yuko vizuri. Kuna watu wanaumwa jamani, wangetamani wawe angalau kama yeye.
 
Yule mzee sio ugonjwa wa kumuondolea roho mapema. Ana features kama Parkinson disease ambayo haiui mapema Bali ni itamsumbua kama Muhammad Ali boxer. Ingekuwa Alzheimer hauzidi miaka 12 tangu features zitokeze. Itamsumbua sana lakini tiba ya huo ugonjwa haipo.
 
Huyo mama ni mrangi, na kama mnavyowajua warangi sifa yao......hapo maasai ndio finally ishafika uzeeni
 
Uzuri ni kwamba wote ndio njia yetu, wengine tunamsema kwa kejeli but its not right IMO.
 
Back
Top Bottom