Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.

Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
 
Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
Kutembea kunasaidia kuipa mifupa nguvu. Akianza kukaa kwenye wheel chair the deterioration will come rapidly.
 
Kutembea kunasaidia kuipa mifupa nguvu. Alianza kukaa kwenye wheel chairs the deterioration will be rapidly.
Kwa shughuli Hii makelele pilikapilika za dance unaona anatamani sana kutingisha mwili lakini naona viungo havina ushirikiano
Kwa siku ile moja tu angetumia wheelchair
Sijui ana hali gani baada ya harusi
Mungu amfanyie wepesi dah
 
Back
Top Bottom