Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Yule mzee sio ugonjwa wa kumuondolea roho mapema. Ana features kama Parkinson disease ambayo haiui mapema Bali ni itamsumbua kama Muhammad Ali boxer. Ingekuwa Alzheimer hauzidi miaka 12 tangu features zitokeze. Itamsumbua sana lakini tiba ya huo ugonjwa haipo.
....ndivyo tunavyoaminishwa na waliotutawala, mkuu.
Unweza ukaingia ndani ndani huko machongoleani mwa Tz ukakutana na Kibabu akakuangaliaa kwa macho tu, akaenda akakuchimbia vimizizi viwili vitatu tu akakunywesha na...voila!...umepona na U mzimaa kama chuma cha Pua !!!
 
Kweli kabisa Mkuu, lakini nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunawekewa video akifanya
jogging, hapo ndiyo utaona umuhimu wa wagombea kufanya medical checkups ili kuhakikisha wagombea wako fit, lakini je madaktari watakuwa huru kuandika ripoti ya kweli kwamba huyu hafai kugombea kwa sababu afya yake ina walakini mkubwa bila kuhofia ajira zao!?
Hahaha lakini mkuu report ya afya ya mtu haina kipengele cha uwezo as kugombea au la, ile inaangalia afya ya viungo vya mwili tu.
Huo uhuru wa maoni ya mtu kuweza kugombea au hawezi hatuelewi na daktari ni utashi wake muhusika.
 
Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
Aisee umeongea kwa masikitiko hadi huruma
 
Usiandike vitu ambavyo ni uongo. Mie na huyo lowassa wapi na wapi!? 😳😳😳
Kwa hapa nakutetea mkuu BAK hukuwahi kuwa na shobo na EDO hata mara moja. Mwenye uthibitisho aweke comment yako hapa au bandiko ambalo ulimshobokea EDO
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii ndiyo maana halisi ya kiapo cha kwashida na raha mpaka Mungu atakapo tutenganisha.
MC Pilipili amekataa kipengele hiki, yakimfika mke ana uamuzi wa kubaki au kumuacha. Alifikiri shida ni kukosa pesa, akili za wagogo bana..msweee..
 
Waliburuza Sana 2015. Wenzao walijua Hilo mkamng'ang'ania weee. Sasa mnamcheka kurudi kwao
Angeupata UNYERERE, asingekuwa katika hali hiyo! Umesahau kuwa Kikwete ALIKUWA ANAANGUKA ANGUKA, lakini toka alipoupata, hakuwahi KUANGUKA tena!
 
Wamekosea, wangemtanguliza mzee kwanza ukumbini akae wakija ukumbini yeye anasimama kuwapokea tu..dah! Maisha haya basi tu.
 
Ndipo unapojua fedha sio kila kitu katika maisha. Uzima kwanza.

Mi sina pesa kama zake mzimaaaa nagalauka kitandani.
Umefanya intensive medical checkup lini?
Yawezekana ukienda kupimwa ipasavyo,ndugu zako wataambiwa warudi wakuache wewe ICU.
 
Wamekosea, wangemtanguliza mzee kwanza ukumbini akae wakija ukumbini yeye anasimama kuwapokea tu..dah! Maisha haya basi tu.
Kwa jinsi watu walivyo kuwa na usongo wa manywaji na maakuli kutoka kwa Yeroooo, lazima wapo waliowahi sana ukumbini. Ingewabidi WAMUWAHISHE toka saa tano mchana!
 
Roho imeniuma sana
Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
 
Toka hiyo 2015 alikuwa hivyo hivyo tu sema mlipenda chongo mkalipamba kwamba ni kengeza halafu leo ndo mnajidai kutubania pua.
 
Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
Mama anafanya vizuri sana. Kuna magonjwa mengine drs wanashauri mgonjwa ajaribu kuishi maisha ya kawaida kama iwezekenavyo. Pia afanye mazoezi ya kutembea hata kama ni kwa taabu!
 
Back
Top Bottom