Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Wasiojulikana haooo wameanza kukumulika
Hahahahaha lol! Niko aisee sema labda tunapishana tu. Nitatia mguu Tanzania yote lakini si chato kwa huyo nduli na dikteta.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nalijua hilo tena kwa pesa za wizi za walipa kodi. Nasema za wizi kwa sababu anazikwapua hazina in trillions bila idhini ya Bunge. Ukichukua kitu bila idhini ya wale waliotakiwa wakuruhusu ukichukue ni WIZI.

Sasa hivi watakua bize wanajenga chattle, mpaka chattl iwe jiji ndio watarudi mjini[emoji3][emoji3]
 
Mi pia sijaona sababu ya yeye kujumuika kwenye hilo tukio wakati afya haimruhusu

Cha ajabu the wife is so happy,mi singeweza, na singemruhusu mume wangu ataabike kisa shughuli, tungekaa zetu nyumbani tupumzike tu
wangempeleka mapema tu na kiti chake
 
Sio wizi ni ujambazi ncunyang'anyi, ila awamu hii jamai ipo tu ata haieleweki
Nalijua hilo tena kwa pesa za wizi za walipa kodi. Nasema za wizi kwa sababu anazikwapua hazina in trillions bila idhini ya Bunge. Ukichukua kitu bila idhini ya wale waliotakiwa wakuruhusu ukichukue ni WIZI.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kitaeleweka tu hopefully soon otherwise we are in for a huge surprise in a very negative way.

Sio wizi ni ujambazi ncunyang'anyi, ila awamu hii jamai ipo tu ata haieleweki
 
Kwani amekutuma utuombe tumuombeee...mbona yeye anauwezo wa kuongea vizuri na pia anaMke wake ambaye angetumika kuwasilisha ombi lake hilo kwa umma wa watanzania,sidhani Kama wewe Ni mtu sahihi Sana kutuomba tumuombee Tena baada ya kuwa UMESHAMPIMA KWENYE MAABARA YAKO na kugundua kwamba EL Ni mgonjwa Sana.Ila,sawa[emoji120][emoji15]
[/QUOTE
Haya yote uliyoyaandika ni mahaba yako na hayawezi kubadilisha Hali Bali Mungu tu.Anahitaji mombi ya kila mtu.
 
Lakini wanajf tuache unafiki
ikubukwe na sisi tutazeeka
Hii stage wote tutailitia

Nimeumia Sana na Comments za wadau hapa
65 years Bado Sana Mkuu.Hiyo Hali anayoipitia Mungu tu ndiye ajuaye.
 
Lets wait and see, everything shall come to an end, soon or later
Kitaeleweka tu hopefully soon otherwise we are in for a huge surprise in a very negative way.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Agreed, hopefully soon rather than later because it’ll be too late for our beautiful country.

Lets wait and see, everything shall come to an end, soon or later
 
Unataka kutuaminisha nini?
Kwani kifo ni adhabu?
Kila mwanadamu atakufa tu....
Kama huamini jaribu.
Kama kifo sio adhabu mbona mahakama wanaojua sheria kuliko wewe wanawaadhibu watu kwa kifo.
 
Back
Top Bottom