Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
Kama anataka kulia vile....
What if baba alitaka kushuhudia harusi ya mwanae? Kuserebuka ni muhimu maana ni harusi atasononeka hadi lini? Kama kuumwa ameshaumwa Mambo mengine lazima yaendeleeNimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
Nadhani wheel chair ingefaa zaidi.Duh! Si wangemuacha apumzike nyumbani tu!
[emoji15]
Mambo ya kuchepuka ni ya ujana zaidi. Kuna umri ukifika huwazi hayo Mambo.Hivi wakati huu Kuna wanawake wa Aina hiyo kweli au muda huu angekuwa anatumbua na mchepuko sauti ya Klyn.
Kweli wakati milele.. Na umri sio miakaSuala la kuumwa si la utani lakini ukweli Huyu mzee baba ni mgonjwa na anahitaji maombi yetu.Amekuwa Kama roboti
View attachment 1153464