Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,789
Hakuna cha shida na raha hapo ni pesa tuu inazungumza, kwa hali hiyo si mateso tuu hayo? Sasa fikiria huyu jamaa na pesa yake afya mbovu hivo angekuwa maskini anayelimia tumbo si angekuwa ashakufa. Hapa ndo tujue tunaishi kwa neema ya Mungu tuu pesa sio kila kitu maishani.Hii ndiyo maana halisi ya kiapo cha kwashida na raha mpaka Mungu atakapo tutenganisha.