Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
Regina kafurahi sana na anajaribu kutuaminisha kwamba mzee yuko sawa, ni sawa ilikuwa ni lazima ahudhurie harusi ya mwanae labda ambacho wangefanya asingeingia kwa msafara, angeingia mapema akakaa zake tu
 
Halafu bila huruma kuna majitu yalizunguka nae nchi nzima kwa uroho wa madaraka.
 
Binadamu hawana jema. Sasa wewe ulitaka alie
Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
 
Kwa afya yake hakupaswa kuingia kwa msafara, busara ingetumika tu, angeingia mapema akakaa tu ndugu wengine ndio wangeingia kwa huo msafara
Yaani wamemuonea kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ram
Hapa ndio utaona raha ya kuwa na mwanamke ambaye hamkupishana sana umri,hebu fikiria umri ule halafu unakuta mke miaka 35-40,si ndio mambo ya kusaidiana yanaanzia hapo...!
 
Lowasa alianza matatizo mara baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu na kusulubiwa bungeni, akawa mlevi wa pombe kali inayoitwa balantine muda wote sababu ya stress, hapo ndio afya yake ikaanza kuzorota, usiombe uwe na madaraka makubwa halafu ghafla yakaondolewa, tuliopitia huko tunajua maumivu yake
 
Tunashukuru kwa taarifa ila neno lako la mwisho hapa limekaa Kidhihaka zaidi na siyo Kiubinadamu hivyo kama unajitambua vyema nakuomba ama ulirekebishe au hata ulifute tu kwani halijakaa vyema Kiuwasilishaji.
Mkuu sio utani nimeandika kulingana na picha inavyozungumza.
 
Aisee kumbe bado kabisa, aisee huo ugonjwa umemzeesha sana duh
...Asante kwa jibu la Kiungwana Mkuu. Ubarikiwe.
Kuna great thinker humu ameshauri kuwa wote tunaouliza swali hili tukamuulize Mkewe!!
 
Unafikiri babu angekuwa kachoka kapuku tu huyo Regina angekuwa na furaha kama unvyo muona?

Huenda angekuwa amesha wasusia ndugu wa babu wamlee yeye angekula kona.
...na hivi anavyoonekana bado Wamo na bado Anadai, hakika hadithi ingekuwa nyingine...!
 
Back
Top Bottom