Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Anasumbuliwa na stress za vitu vingi, na si kingine.atapona.
 
Huyo mkewe anavyocheza kutaka kuonesha mambo yako sawa ndiye anaweza kumuangusha ikawa fedheha kubwa zaidi.
Kwa mila za kule kuna jamaa wa kimila kalamba jike maana anachekelea kwa mbaali maana atakuwa anasimika mkuki pale nje.
 
Kwa mila za kule kuna jamaa wa kimila kalamba jike maana anachekelea kwa mbaali maana atakuwa anasimika mkuki pale nje.
Ndugu yangu mimi siwezi kumbeza Lowassa kihivyo.

1. Lowassa ni umri wa baba yangu.
2. Lowassa ni baba yake mtu ninayefahamiana naye vizuri personally kabla Lowassa hajawa waziri
3. Kubeza mila za watu si uungwana.
4. Kubeza wagonjwa si uungwana.
5. Hata mimi naweza kuugua nikawa hivyo siku moja.
 
Naogopa kumsema Lowasa. Waliojaribu wako mbele ya sheria.
1. Yule mama Celina Kombani alimtabiria EL kifo. Karudi ndani ya suitcase toka India
2. Saa ya ukombozi ni sasa alisema EL ni marehemu. Alikufa bila jeraha
3. JK mtunzi wa sisiemu mbele kwa mbele. Mnakumbuka alikua anajiandaa kwenda majuu. Akapanda juu zaidi.
4. Mnamkumbuka mbunge mmoja alikua anakwenda kuchukua fomu kwao kwa kujiamini kabisa....Hakufika
EL habari ingine
Unataka kutuaminisha nini?
Kwani kifo ni adhabu?
Kila mwanadamu atakufa tu....
 
Hivi anasumbuliwa na nini hasa huyu mzee. Amepoteza mvuto.
 
Unafikiri babu angekuwa kachoka kapuku tu huyo Regina angekuwa na furaha kama unvyo muona?

Huenda angekuwa amesha wasusia ndugu wa babu wamlee yeye angekula kona.
Sio kila mwanamke ana akili kama zako. Kama ulimkimbia mumeo hilo ni lako.
 
Suala la kuumwa si la utani lakini ukweli Huyu mzee baba ni mgonjwa na anahitaji maombi yetu.Amekuwa Kama roboti
View attachment 1153464
Ni kweli jamaa tokea arudi nyumbani hali yake imebadilika sana. Anakuwa kama kapigwa stroke. Sijui macho yangu, lakini kama alikuwa afadhali alivyokuwa nje ya nyumbani kwake!!!
 
Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
mama anatoka ile wilaya wenye mtaa maarufu pale magomeni! nafikiri unaweza kujiongeza!
ila anahitaji huruma na maombi boss anaumwa
 
Maisha ya binadamu ni fumbo kubwa, ni zaidi ya vitabu tunavyosoma...
 
Back
Top Bottom