Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Suala la kuumwa si la utani lakini ukweli Huyu mzee baba ni mgonjwa na anahitaji maombi yetu.Amekuwa Kama roboti
View attachment 1153464
Namkubali sana huyu mwanajeshi..ndoraha yakupita jeshi,unakua jasiri unafia vitani,heko lowasa...usingekuwepo sijui tungesemaje...umetukatisha mengi sana ambayo tumebaki nayo vinywani mwetu...Ila mbowe kiboko
 
Huo mfanano wa roboti mbona umemkosea sana,ungesema tu anaumwa
 
Back
Top Bottom