BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,226
- 4,188
...could be? Ama African Missile???Parkinson's?
...could be? Ama African Missile???Parkinson's?
Tunaomba pichaTunamuombea apate nafuu, ni kipindi kigumu anapitia
Povu la Nini?mwanaume mzima kazi ya kuchungulia Avatar za watu.Tumuombee mzee wetu achana na unafiki.Inamaana ulichoona kwenye harusi wewe ni afya ya Lowassa tu. Kwanza umeweka picha ya Bashite hapo au ni wewe nini? Second lady wa Taifa?
mungu akijikuta namba 5 kwenye orodha yako naye yatamkuta yaliyowakuta kina komba? Au nimekosea kukuelewa??Naogopa kumsema Lowasa. Waliojaribu wako mbele ya sheria.
1. Yule mama Celina Kombani alimtabiria EL kifo. Karudi ndani ya suitcase toka India
2. Saa ya ukombozi ni sasa alisema EL ni marehemu. Alikufa bila jeraha
3. JK mtunzi wa sisiemu mbele kwa mbele. Mnakumbuka alikua anajiandaa kwenda majuu. Akapanda juu zaidi.
4. Mnamkumbuka mbunge mmoja alikua anakwenda kuchukua fomu kwao kwa kujiamini kabisa....Hakufika
EL habari ingine
Hahahahahaha 😄😄😄Nasikia eti hata wao hawamwamini wanahisi 2020 anaweza hamia NCCR MAGEUZI[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Si wangemuacha apumzike nyumbani tu!
😳
Die leave benefit.Why Grace thou?
Ni agemate na JK aisee.!Hivi mzee wetu ana umri gani kwasasa?
ndugu yangu ukipata hata nguvu ya ku type hapa unashukuru Mungu.....maisha haya ya duniani kuna muda ukifikiria sana huwa hayana maana yoyote...Binadamu hatujakamilika
Regina kafurahi sana na anajaribu kutuaminisha kwamba mzee yuko sawa, ni sawa ilikuwa ni lazima ahudhurie harusi ya mwanae labda ambacho wangefanya asingeingia kwa msafara, angeingia mapema akakaa zake tu