Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
Wote waliosema anaumwa sasa hivi wanaimba na malaika tu..
 
Kweli kabisa Mkuu, lakini nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunawekewa video akifanya
jogging, hapo ndiyo utaona umuhimu wa wagombea kufanya medical checkups ili kuhakikisha wagombea wako fit, lakini je madaktari watakuwa huru kuandika ripoti ya kweli kwamba huyu hafai kugombea kwa sababu afya yake ina walakini mkubwa bila kuhofia ajira zao!?

Kukaa idle uzeeni ni kujenga urafiki na maradhi mkuu
 
Kweli kabisa mimi wewe pamoja na JIWE aliye dhihaki afya ya mwenzie kwa kupiga pushap hali hii inaweza kutukuta...
 
Naogopa kumsema Lowasa. Waliojaribu wako mbele ya sheria.
1. Yule mama Celina Kombani alimtabiria EL kifo. Karudi ndani ya suitcase toka India
2. Saa ya ukombozi ni sasa alisema EL ni marehemu. Alikufa bila jeraha
3. JK mtunzi wa sisiemu mbele kwa mbele. Mnakumbuka alikua anajiandaa kwenda majuu. Akapanda juu zaidi.
4. Mnamkumbuka mbunge mmoja alikua anakwenda kuchukua fomu kwao kwa kujiamini kabisa....Hakufika
EL habari ingine
 
Wanasiasa waliomuimba na kumtukuza kiasi cha kuhatarisha afya yake kwenye zile kampeni 2015 walikuwepo kwenye harusi ?

Zile stress Za makampeni, misusuko hazikuwa rafiki kabisa kwa afya yake,
 
Back
Top Bottom