Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

Aisee anatakiwa apjmzike na hizi shughuli kwa sasa la sivyo tutampoteza,naona mwisho wa siku alikuwa anashindwa hata kupiga hatua
 
Sio jambo la kushabikia wala kucheka....cha msingi tumuombee tu Mungu amjalie afya..wala hatuna haja ya kuhukumu chochote..maisha yana mapito mengi na pia hujafa hujaumbika
Dogo asante kwa maneno ya busara.
Wengi waliomcheka EL leo hii wako ardhini.
1. Mnamkumbuka Selina Kombani
2. Mnamkumbuka Mtikila
3. Mnamkumbuka John Komba????
Tukumbuke tu utajiri mkubwa kuliko yote duniani ni AFYA NJEMA
Walio Muhimbili na walio paralyse wanalielewa hili vzr sana.
Big up dogo
 
Nimeshangaa sana mwenyewe anaserebuka kwa furaha zote wakati mwenzie yuko hoi bin taabani anatamani kukaa chini. Huyo mama kakosea sana kumkokota mwenzie akiwa katika hali hiyo.
Pombe sio chai kakolea njwiii!!! cheki anavyomburuza Mzee wa watu Kama mkokoteni vile kwa spidi ya mwendo kasi.Chezea pombe ,pombe kitu ingine.
 
Tamaa tu na kutaka kulinda maslahi yake kizazi chake and co. Nothing else
Amebadilika sana kwa kipindi kifupi tangu arudi kunako
Mkewe anaonekana yuko so joyful
Angetumia hata wheelchair basi dah!
Huwa anasumbuliwa na nini kwani?
Angekuwa Rais kweli Huyu kwa hali hii?
 
Lowasa alivyo jiengua Uwaziri Mkuu, alitakiwa aachane na siasa a stick kwenye biashara, kuwa na maisha mengine nje ya mfumo mzima wa kisiasa, Uchu wa madaraka ndiyo uliomponza yote haya...

Namna ambavyo CIA walivyo amini kuwaondoa watu wote watakao onekana ni hatari kwa maslai ya nchi....

Mwenyezi Mungu anaweza kujua nn hatima ya mja wake...
 
Back
Top Bottom