Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Urafiki upo kati ya mwanaume na mwanamke. Jisemee wee binafsi, km wee huwezi wapo wengine wanaweza.
 
Kwamba mkiwa-pamoja once or occassionally urafiki wenu unakufa ? Au kama mlikuwa wapenzi before mkikutana baadae kila mtu kachukua hamsini zake hamuwezi mkawa marafiki bila kuleta tamaa na ashiki zenu kuingilia kati ?

Sometimes friendship ni ya maana sana na itakuwa ni upuuzi kuhatarisha urafiki wenu kwa tamaa ambazo zinaweza kukidhiwa mahali pengine...
Haswaaa umenena.
 
Tafuta utapata wawili watatu

Trust me kuwa na marafiki hata wawili wa kiume mnaoheshimiana ni utajiri
Tena ukipata wale wanaovuta bangi huwezi juta...wako loyal balaaa
Ongezaaa sautiiii, wavuta bangi wako real na wako Royal mnooo.

Una hoja usikilizwee.
 
Naskia huko mjini urafiki huo upo [emoji1][emoji1]
Wanabadilisha nguo mbele ya rafiki yake bila shida hata ulala pamoja eti wanaaminiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kijijini mbna upooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wavute Bangi sisubutu

Huyo mmoja tu ni ex alinivuruga mpuuzi yule sitamani wavuta bangii
Huyo sio mvuta bangi, ni teja au msela, sio kila mvuta bangi ni teja au msela.
 
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]
Swadaktaaaaaa!!!!!
 
Mhhh urafiki wa hivo upo tena sana tuu jamanii,mimi nina rafiki yangu tangu utotoni hadi sasa hivi ukubwani Lakini bado tuko wote hadi sasa na ameshaoa tayari,,he was my bestfriend hadi sasa ni rafiki yangu,,ila sasa tamaa za ajabuajabu ndo zinafanya watu wajiingiZe kwenye hali ya utata lakini urafiki wa mwanamke na MWANAUME upo Kabisa!!!
Umeshasema tamaa za ajabu ajabu, maana yake kukulana upo.

Imagine bff wako wa kiume kakuita maybe beach, akakushika nyonga pale akawa anaongea maneno matamu mara anakutekenya unakuta tayari ushaingia kingi.

So ni kama umejipiga mwenyewe Kwa maneno yako. Hakuna urafiki wa karibu Kati ya mwanaume na mwanamke, haupo. Mungu mwenyewe hakubali huu ubff wa ajabu.
 
kuna rafiki yangu, ni kipenzi kweli,
Ni mke,na mama wa wawili,
Napenda sana,ila iman ya mumewe nimeitunza.Sijawahi kamwe kwake kukosa adabu.
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Na mimi ni wa kwanza
Anayebisha akafie mbele
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Huwezi kutumia MUWA kama fimbo ya kutembelea.. Ipo siku utautafuna tu
 
Urafiki wa aina hiyo upo Ila kwa asilimia Chache Sana.
Na urafiki wa aina hiyo huvunjika mojawapo ya sababu ikiwa Ni mwanaume kumtaka kimapenzi rafiki Yake wa kike.
 
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi☺️☺️
Huyo rafiki yako anastahili kujengewa sanamu la heshima.Kaupiga mwingi Sana.
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Unawezekana
 
Back
Top Bottom