Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

mamamzungu

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
2,374
3,887
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani
 
Kwamba mkiwa-pamoja once or occassionally urafiki wenu unakufa ? Au kama mlikuwa wapenzi before mkikutana baadae kila mtu kachukua hamsini zake hamuwezi mkawa marafiki bila kuleta tamaa na ashiki zenu kuingilia kati ?

Sometimes friendship ni ya maana sana na itakuwa ni upuuzi kuhatarisha urafiki wenu kwa tamaa ambazo zinaweza kukidhiwa mahali pengine...
 
Back
Top Bottom