Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
We na umri huo unataka utongozwe tena come on!
 
Kwamba mkiwa-pamoja once or occassionally urafiki wenu unakufa ? Au kama mlikuwa wapenzi before mkikutana baadae kila mtu kachukua hamsini zake hamuwezi mkawa marafiki bila kuleta tamaa na ashiki zenu kuingilia kati ?

Sometimes friendship ni ya maana sana na itakuwa ni upuuzi kuhatarisha urafiki wenu kwa tamaa ambazo zinaweza kukidhiwa mahali pengine...

Aisee basi kama upo ni 10% na uenda ushatupia ndoano mara kadhaa but umepigwa kibutii umekubaliana na hali
 
Nlikuwa na rafikiyangu moja wa kike siku moja akaniambia anajiskia kupata bia mbili ...... basi nikamchukua tukaenda sehem tukacheki mpira akagiza savana ya kwanza story zikanza ...... savana ya pili akawa anacheka hku ananipiga mabega .....story zikaendelea ..... savana ya tatu akanza kuongea kingereza ...... mjuba nikajiongeza , kwanzia sikuhiyo mpaka leo ananita baby
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Uhakika sana
 
Huna msaada wowote kwangu,
Kama hana msaada ilikuwaje mwanzo akawa rafiki yako; kwahio marafiki zako wote wa jinsia moja wana msaada kwako au wewe ndio wale bila kupata kitu kwa mtu haweki mahusiano yoyote ? Vipi kama mna interests sawa ?
hata nikiwa na shida na hela huwezi nisaidia,
Sasa si ufanye urafiki na Banks au ATM
ya nini kupotezeana bando,
Kwani marafiki lazima mtumie bando ?, unless mnapigiana bila kuwa na cha kuongea hapo ni kupotezeana muda hata kama ni maadui au marafiki; lakini kama mna interests sawa na kila mnachoongea kinajenga wala hamtakosa cha kuongea na kama hakipo hamtaongea mpaka kitakapokuwepo..., Kwahio kwa logic yako wewe wale dada poa unaowalipa ili wakupe huduma ni marafiki zako ? (Is one directly proportional to another ?)
ni either tukulane au nisiwe na mazoea na wewe, iwe ni salam tu
Kwa case yako tafuta dada poa tu atakidhi haja yako bila strings attached.., Kumbuka urafiki haulazimishwi kwamba niwe rafiki na yule au huyu ni automatically mki-click na kama ukipata rafiki wa hivi ni bora usiharibu huo urafiki kwa kuingia / ku-force mengine - unless ni mutual, ila mkifanya hivyo kuna hatari ya kupoteza vyote...
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Huo upumbavu siwezi kuwa rafiki normal na mwanamke ni mwiko labda uwe mteja wangu wa biashara zangu basi si kitu ingine
 
Nlikuwa na rafikiyangu moja wa kike siku moja akaniambia anajiskia kupata bia mbili ...... basi nikamchukua tukaenda sehem tukacheki mpira akagiza savana ya kwanza story zikanza.

Savana ya pili akawa anacheka hku ananipiga mabega, story zikaendelea, savana ya tatu akanza kuongea kingereza. Mjuba nikajiongeza, kwanzia siku hiyo mpaka leo ananita baby

[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe si ungejikaza akabaki rafiki
 
Oya mama mchina, kuwa rafiki yangu mimi hutajuta, SIKUTONGOZI ila UKINITONGOZA sikatai🤣🤣

Wanaume tunaishi kwenye kanuni ya PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA.
Yaani masihara masihara ndio huw kweli, akikutania, ukajichekesha anaona inawezekana, atasogea hatua ya pili, ukijichekesha atasogea tena, mwishowe uKIJILEGEZA anatia komando RUNGU KIPEPE
wanaume wote wamenielewa hapa.
 
Tafuta utapata wawili watatu

Trust me kuwa na marafiki hata wawili wa kiume mnaoheshimiana ni utajiri
Tena ukipata wale wanaovuta bangi huwezi juta...wako loyal balaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wavute Bangi sisubutu

Huyo mmoja tu ni ex alinivuruga mpuuzi yule sitamani wavuta bangii
 
Shida Nao Wanawake Unaweza Ukamchukulia Ni Rafiki,lakini Yeye Akiulizwa Na Rafiki Zake Anakuponda Mara Nyuki Wa Mashineni Yule,mara Ooh Hasimamishi,
sasa Ni Bora Umtafune Kwanza Heshima Iwepo Ndio Mrudi Meza Ya Mazungumzo Kama Mtaendelea Na Urafiki Wa Kawaida Au La
lakn Urafiki Na Mwanamke Mzuri Na Mshepu Mzuri Huo Ni Urafiki Wa Mashaka,me Siwezi,nitachekwa Nisipoionja.
 
Wadada wanakubembeleza huku wanakutangaza nje huko 🤦‍♀️
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi☺️☺️
 
Huna msaada wowote kwangu, hata nikiwa na shida na hela huwezi nisaidia, ya nini kupotezeana bando, ni either tukulane au nisiwe na mazoea na wewe, iwe ni salam tu

[emoji23][emoji23][emoji23]kwani msaada ni lazima hela Kuna wakati hela haisaidii ukiwa na stress unahitaji mdada wa kukufarijii kwa maneno tu unasahau yote
 
Back
Top Bottom