Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
HAPANA, URAFIKI UNAWEZEKANA.

LKN

HAKUNA
Narudia
HAKUNA
URAFIKI KATI YA EXTREMLY MASCULINE MAN NA FEMININE SEXY WOMAN hauwezekaniki.

kama utaruhusu mkeo awe na male friends make sure those niggaz are fans of LG TV / zesty / feminine / batty boy / arse bandit / anal astronaut ....etc

Hivi unaanzaje kuwa na urafiki na mke wa mtu?

Ow!
Pengine labda concept ya urafiki haijaeleweka.

Binafsi haiwezekani kuwa na female friends it's not health at all.?
What am going to talk with.my female friends?

Female
Katika urafiki wanawake hawawezi kuwa rafiki bora / women are not friend material
Based on how women operate.
Kwa anaejua namna women wana operate ni ngumu kuwa na urafiki na mwanamke
The only way hapo ni muwe kaka na dada tu!
 
Mwanamke anakuambia kabisa kwamba leo naenda kuikalia ya kidume halafu wewe unajibuje? Na unaona kawaida tu? Jitafakari ndugu. Tangu lini hasi na chanya zikawa na urafiki? Na unajitapa mbele ya JF kuwa una urafiki na ke? Ni sifa? Yaani fisi na mbuzi wakae zizi moja? Haaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba anayumba sana yani mpka stor za huyo dem kwenda kufinywa anapewa halafu anakuja kujitapa huku anaona ni sifa ujinga huu
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Hiyo inaitwa "HASI & CHANYA" . Once zikisogeleana lazima ziache athari. Na ni dhambi kuvinyima haki yake.

Huo urafiki ni mgumu sana. Labda uwe wa mama na mtoto wake wa kiume, hapo sawa. Otherwise haki itendeke
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
We ni pisi mbovu tu acha ngendembwe.
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Kuna muda nikujiendekeza tyu upande wangu nina rafiki wa kike watatu
Nitaenda ghetto kwake na hkuna kinachotokea kwa sababu ya heshima tyu

Kuwa na rafiki wa kike inawezekana tena sanaa kabisaa
 
Mimo kuanzia sasa huo ujinga wa kumfanya mwanamke rafiki siutaki kuanzia jana, akijileta na analipa ninapiga.
Naona ukimuweka karibu anaanza kukuzushia sasa nafanya kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetoa taarifa ya wazi
Daah!! Of coz hayo yashawahii nipata lakini sio wote wako ivoo
 
Daah mimi hata hapa nikisalimiwa dem tu tayari nahisiwa namkula , sikujua kuwa bado tuna ushamba huu
 
Back
Top Bottom