Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii


Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Upo
 
Mimi yalinikuta na nilikua na nia Safi tu ya kumuweka awe tu Rafiki wa kike wa karibu naye pia alikubali hilo Kama mshkajii wa kiume wa karibu, Sikuwah kufikiri siku ntakuja kumuambia vile.

Siku zikawa zinaenda yani tunachat 24hrs hata usiku wa manane akishtuka ananicheki kama niko free, kuongea nae kwa simu masaa 2 ilikua kawaida anapiga DK zake zikiisha napiga Mimi, Honestly ilikua mwendo Mdundo miezi ikakatika sehem zote alikua as frequent call, tsup, txt. Sijui kutokua na Mchuchu pia ilinichangia !? I don't know

Ikapita miezi kama 4 Nikaanza nikijiskia Vibaya namtafuta kama vile comforter wang hata yeye pia ikawa ni hivyo. Kumbe Sasa yeye mwenzang ana kauzoef wa kuwa' close sana na Mwanaume

Siku moja nikapat bahati nilipost kitu akacomment ile comment yake ikanipa a Starting point ndio nikaunga humo humo nikamueleza "Bwana Mimi nimesha anza kujifeel tofauti juu yako ni kama wiki sasa hii ishu inakua very strong na brah brah brah kibaaao pale lkn hayo yote si kwmba nakutaka uwe wang lkn tu I can't hold it no more kwann nijivunge niumie "

So ikawa mwisho wa huo ukaribu, kila mtu akala hamsini zake. Jap tunaonana WhatsApp
 
Oya mama mchina, kuwa rafiki yangu mimi hutajuta, SIKUTONGOZI ila UKINITONGOZA sikatai[emoji1787][emoji1787]

Wanaume tunaishi kwenye kanuni ya PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA.
Yaani masihara masihara ndio huw kweli, akikutania, ukajichekesha anaona inawezekana, atasogea hatua ya pili, ukijichekesha atasogea tena, mwishowe uKIJILEGEZA anatia komando RUNGU KIPEPE
wanaume wote wamenielewa hapa.

Mmmh asa mtu unamuomba ushaurii wa mahusiano yako unajua ni rafiki yako anakwambia mbona anakutesa sana yaani ungenipa nafasi hiyo mimi hujutii kweli jamanii rafiki gani huyo[emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli nilishawahi kua na rafiki kama huyu yule bint tumeshibana tangu o level alikua ananifundisha hesabu mimi namfundisha English tume maliza mpaka vyuo hajawahi kusema neno sex au love ila tunapendana sana, sasa ana watoto na mimi ninao. Ila bado tuna pendana sana pesa kwake au kwangu sio kitu, ila tunako elekea itatubidi tuzae mtoto wa kumbukumbu japo hatuja lisema ila naona hu upendo mpaka ugote sehemu.
Hapo kwenye kuzaa mtoto hapo ndo mtakapoanza kufarakanyika mkuu😃😃😃
 
Shida Nao Wanawake Unaweza Ukamchukulia Ni Rafiki,lakini Yeye Akiulizwa Na Rafiki Zake Anakuponda Mara Nyuki Wa Mashineni Yule,mara Ooh Hasimamishi,
sasa Ni Bora Umtafune Kwanza Heshima Iwepo Ndio Mrudi Meza Ya Mazungumzo Kama Mtaendelea Na Urafiki Wa Kawaida Au La
lakn Urafiki Na Mwanamke Mzuri Na Mshepu Mzuri Huo Ni Urafiki Wa Mashaka,me Siwezi,nitachekwa Nisipoionja.

Kuwa mzungu wewe
 
Mimi yalinikuta na nilikua na nia Safi tu ya kumuweka awe tu Rafiki wa kike wa karibu naye pia alikubali hilo Kama mshkajii wa kiume wa karibu, Sikuwah kufikiri siku ntakuja kumuambia vile.

Siku zikawa zinaenda yani tunachat 24hrs hata usiku wa manane akishtuka ananicheki kama niko free, kuongea nae kwa simu masaa 2 ilikua kawaida anapiga DK zake zikiisha napiga Mimi, Honestly ilikua mwendo
Mdundo miezi ikakatika

Ikapita miezi kama 4 Nikaanza nikijiskia Vibaya namtafuta kama vile comforter wang hata yeye pia ikawa ni hivyo. Kumbe Sasa yeye mwenzang ana kauzoef wa kuwa' close sana na Mwanaume

Siku moja nikapat bahati nilipost kitu akacomment ile comment yake ikanipa a Starting point ndio nikaunga humo humo nikamueleza "Bwana Mimi nimesha anza kujifeel tofauti juu yako ni kama wiki sasa hii ishu inakua very strong na brah brah brah kibaaao pale lkn hayo yote si kwmba nakutaka uwe wang lkn tu I can't hold it no more kwann nijivunge niumie "

So ikawa
Mmedumu sasa au ndo mliishia palepale😃😃😃
 
Urafiki wa me na ke upo tena sana tu wanaita friends with benefits me naweza sema nnao na nilikuwa nao marafk wa kike ni mzuri maana kuna baadhi ya matatizo huwez kuyapata hata kulana kupo kimasihara bila hata kutongozana na urafiki unaendelea SALUT kwa marafiki zangu wote wa kike chukueni [emoji457] yenu
 
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]

Nyie mtakuwa mnauzungu ila hawa wa Samia hawajui hilo watakubembeleza halafu wakukulee
 
Urafiki wa me na ke upo tena sana tu wanaita friends with benefits me naweza sema nnao na nilikuwa nao marafk wa kike ni mzuri maana kuna baadhi ya matatizo huwez kuyapata hata kulana kupo kimasihara bila hata kutongozana na urafiki unaendelea SALUT kwa marafiki zangu wote wa kike chukueni [emoji469] yenu
Wewe jamaa hapana kwakweli 😂😂😂🙌
 
Hapo kwenye kuzaa mtoto hapo ndo mtakapoanza kufarakanyika mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli ila hatuna la kufanya lingine yote tumesha ya maliza, juzi na mnunulia shares kwenye sacoss bila yeye kujua kwasbb walihitaji mwanachama mgine, hata kulejesha pesa hawezi kuwaza, yule ni zaidi ya rafiki ndugu jama ila hatujawahi hata ku kiss ila tunapendana sana, so it must have an end point.
 
Back
Top Bottom