Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,738
- 62,732
Yeah ni kweliHuyo rafiki yako anastahili kujengewa sanamu la heshima.Kaupiga mwingi Sana.
Yeah ni kweliHuyo rafiki yako anastahili kujengewa sanamu la heshima.Kaupiga mwingi Sana.
Bila picha tutaamini vipi wewe ni pisi kali hadi marafiki zako wakiume hawakutamani.Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Huwezi kunyimwa wewe hata siku moja, hivi naanzaje.🤣🤣Wakati unaninyima😂
Fanya kweli😂Huwezi kunyimwa wewe hata siku moja, hivi naanzaje.🤣🤣
Mmea na uheshimiwe na watu wote. AsanteTafuta utapata wawili watatu
Trust me kuwa na marafiki hata wawili wa kiume mnaoheshimiana ni utajiri
Tena ukipata wale wanaovuta bangi huwezi juta...wako loyal balaaa
Kwanini umejihami kuwa wewe siyo pisi mbovu?Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Uzi ufungwe sasa hatimaye tumehitimisha kwa kishindo.In short urafiki wa mwanaume na mwanamke ni almost impossible kwa sababu moja kuu ambayo ni "Wanawake wanapenda kupokea kuliko kutoa kiasili" Naa hii ni kwa kila kitu. Hivyo ili urafiki wa mwanamke na mwanaume udumu basi ni lazima mwanaume uwe mtoaji na mwenye uwezo wa kuvumilia kutopewa hata wakati una uhitaji mkubwa wa kitu ambacho rafiki yako mwanamke anacho na hataki kukupa. Yaani kwa lugha nyepesi tunasema uwe boya.
Ifahamike pia wanaume wengi ambao ni marafiki wa wanawake hawanaga marafiki wanaume kwa sababu wanakosa sifa nyingi za kuwa wanaume.
Kumbe unajua kuchekea!! Kuna mahali unadai hauwezi kucheka wala kutabasamu!! hii imekaaje?Kwanini umejihami kuwa wewe siyo pisi mbovu?
Huwezi kuwa pisi kali tukabaki tunakuchekea tuu
📌📌uzi ufungweIn short urafiki wa mwanaume na mwanamke ni almost impossible kwa sababu moja kuu ambayo ni "Wanawake wanapenda kupokea kuliko kutoa kiasili" Naa hii ni kwa kila kitu. Hivyo ili urafiki wa mwanamke na mwanaume udumu basi ni lazima mwanaume uwe mtoaji na mwenye uwezo wa kuvumilia kutopewa hata wakati una uhitaji mkubwa wa kitu ambacho rafiki yako mwanamke anacho na hataki kukupa. Yaani kwa lugha nyepesi tunasema uwe boya.
Ifahamike pia wanaume wengi ambao ni marafiki wa wanawake hawanaga marafiki wanaume kwa sababu wanakosa sifa nyingi za kuwa wanaume.
Yaani upo kama Mimi 😀😀🤝 ndiyo maana nikiwa single, girl akiwa anachat na Mimi mara kwa mara yan naona hapa Mungu anipe nini Makmuga. Ila nikiwa kwenye mahusiano aisee huwa si entertain kuchat na other girls kabisa lkn mpenzi wangu akionyesha kunipuuza penzi langu mara hajibu sms hata za salamu, simu nikimpigia aulize "huna kazi ...?", mara anijibu shit. Kwa kweli kisaikolojia na hata moyoni ikitokea binti mwingine ambaye nilipunguza ukaribu naye wakati mahusiano yangu nipo serious nayo nampa mpenzi wangu muda wangu na mahaba basi akawa amenitafuta mara anisalimie, jioni aniambie pole japo unakuta hata sikuwa bize nikachoka hivyo😀 usiku anitext wakati mpenzi wangu hana time kunijibu hata ile salamu nimemtumia asubuhi aisee moyo wangu unahamia kwa huyu rafiki yangu wa kike kwa kweli sa ntafanyaje unadhani.Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume...ni suala la mda tu...mtaitana honeyyyy