Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Nlikuwa na rafikiyangu moja wa kike siku moja akaniambia anajiskia kupata bia mbili ...... basi nikamchukua tukaenda sehem tukacheki mpira akagiza savana ya kwanza story zikanza.

Savana ya pili akawa anacheka hku ananipiga mabega, story zikaendelea, savana ya tatu akanza kuongea kingereza. Mjuba nikajiongeza, kwanzia siku hiyo mpaka leo ananita baby
 
Utasikia shemeji anafaidi nipe na Mimi kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani kuna namba ukiona unajua tu amecomment upuuzi unafuta juu kwa juu
😆😆😆
Wengine hawayaongelei hata ya shemeji, utaskia naomba niamshe kesho asubuhi, mara tutazaa katoto kazuri kama haka.

Unaona bora kutokujibu tu message maana😂😂😂😂
 
Kwamba mkiwa-pamoja once or occassionally urafiki wenu unakufa ? Au kama mlikuwa wapenzi before mkikutana baadae kila mtu kachukua hamsini zake hamuwezi mkawa marafiki bila kuleta tamaa na ashiki zenu kuingilia kati...
Huna msaada wowote kwangu, hata nikiwa na shida na hela huwezi nisaidia, ya nini kupotezeana bando, ni either tukulane au nisiwe na mazoea na wewe, iwe ni salam tu
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…
Wakati hamuishi pamoja, mnawezaje kuanza urafiki kabla ya kutongozana?

Mi nikikutongoza na kama haunitaki, nikatae "kisomi" hapo nitakupenda na tunaweza tukajenga urafiki wa ridhaa[emoji38].

Lakini nikatongoza halafu unikatae kwa kunitukana, ama maneno ya nyodo hesabu umejigawa kwangu, hapo lazima tuwe wachumba, ninajiamini, yaani lazima nikupate!

Nipo radhi nijifirisi kwa gharama yoyote ili mradi tuondoe ubishi na ni lazima nishinde.
 
Back
Top Bottom