Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

😂😂🙌🏽🙌🏽 shida ndo inapoanzia hapo aisee uone vyote hivyo af eti uwe mpole hata mimi siwezi aisee
Ni majaribu wanawake baadhi wahuni anakuwa karibu na mwanaume ambae hana mvuto nae wa hisia kwa anataka uwe nae Kwa faida zake tu, Mimi nawapatia sehemu yeye akitaka kuwa rafiki apende asipende ataliwa tu threesome one day
 
Mi si mchawi ila moja wapo hapo atakuwa anasura chachu sana hasa hao wazee 😄😄😄
Simaanishi kuwa ni wazee kwakuwa wananizidi umri, wote ni handsome, gentlemen, watafutaji, wana elaaa....mi ni mwanamke ambaye kiwastani naeza sema nna mvuto ni wale hata tukipishana mtu atageuka kuniangalua
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Unawezekana kwa mipango lakini, hujui kuna friends with benefits?
 
Kusema kweli hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke. Haupo.

Best friends always wanakulana. Mimi urafiki na mwanamke labda tu kwenye kazi, au maybe tulisoma pamoja basi, sina tabia ya kutengeneza marafiki wa kike, kwasababu nafahamu hii principle. Marafiki zangu wengi ni wa kiume tu.
Mwanamke ukishakuwa rafiki yake anakuona, mjinga na weak minded na ana uwezo wa kukumanipulate na kukutumia.
 
Mhhh urafiki wa hivo upo tena sana tuu jamanii,mimi nina rafiki yangu tangu utotoni hadi sasa hivi ukubwani Lakini bado tuko wote hadi sasa na ameshaoa tayari,,he was my bestfriend hadi sasa ni rafiki yangu,,ila sasa tamaa za ajabuajabu ndo zinafanya watu wajiingiZe kwenye hali ya utata lakini urafiki wa mwanamke na MWANAUME upo Kabisa!!!
 
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka

Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
🤣
Wewe unaonekana una hasira za Karibu. Kama tu hii post ya jf inakufanya ufoke kwa hasira kali MNO kiasi hiki, lazima ma Bro wakuone kama Bro mwenzao lazima WATAKUHESHIMU. Pia na wewe utakuwa Mungu saidia tu. Bila ya filter, picha haipostiki 🤣
 
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani

Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…

Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka

Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa

Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe

Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii

Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Kwani hata ukiwa rafiki yangu, ukinipa kitumbua kuna shida gani, nitaondoka nacho?
 
Back
Top Bottom