moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,890
[emoji38][emoji38][emoji38]ona sasa akili zakoHuwa natamani kuwa na female friend, ila unakuta mtu ni kisu hatari...nawaachiaje wenzangu wafaidi!!
[emoji38][emoji38][emoji38]ona sasa akili zakoHuwa natamani kuwa na female friend, ila unakuta mtu ni kisu hatari...nawaachiaje wenzangu wafaidi!!
Ndo maana kaamua kujihami mapema [emoji1][emoji1][emoji1787]
Wewe unaonekana una hasira za Karibu. Kama tu hii post ya jf inakufanya ufoke kwa hasira kali MNO kiasi hiki, lazima ma Bro wakuone kama Bro mwenzao lazima WATAKUHESHIMU. Pia na wewe utakuwa Mungu saidia tu. Bila ya filter, picha haipostiki [emoji1787]
Unawezekana, lakini 6 kwa 6 lazima ihusike, maana kwa Me, mwanamke akiwepo kichwa cha chini kina control cha juuHivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani
Hongera mkuu, kuwa na mvuto si Jambo dogo atSimaanishi kuwa ni wazee kwakuwa wananizidi umri, wote ni handsome, gentlemen, watafutaji, wana elaaa....mi ni mwanamke ambaye kiwastani naeza sema nna mvuto ni wale hata tukipishana mtu atageuka kuniangalua
Acha kujihami ,sikia nikwambie analiwa yeyote yule awe pisi kali au mbovu ,mi najua wewe mwenyewe ushaliwa sana na marafiki zakoUrafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Ila jiandae siku ipiNdo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..
Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae
So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]
Haki, na mimi ni mmoja wao.ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa
Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Hata hao wawili upo uwezekano wa kutokea "kimasihara" siku isiyojulikanaNinao wawili tu ndio hawajawahi niletea hizo habari ila wengine wote ni wale wale tu.
Tutajuaje kama wewe sio pisi mbovu 😁👋Picha ipi sasa
Ulikosea sana mkuu, huyu ulitakiwa uandae mazingira ambayo kwake iwe kama kaliwa kimasihara lakini kwako iwe ulijipanga.Mimi yalinikuta na nilikua na nia Safi tu ya kumuweka awe tu Rafiki wa kike wa karibu naye pia alikubali hilo Kama mshkajii wa kiume wa karibu, Sikuwah kufikiri siku ntakuja kumuambia vile.
Siku zikawa zinaenda yani tunachat 24hrs hata usiku wa manane akishtuka ananicheki kama niko free, kuongea nae kwa simu masaa 2 ilikua kawaida anapiga DK zake zikiisha napiga Mimi, Honestly ilikua mwendo Mdundo miezi ikakatika sehem zote alikua as frequent call, tsup, txt. Sijui kutokua na Mchuchu pia ilinichangia !? I don't know
Ikapita miezi kama 4 Nikaanza nikijiskia Vibaya namtafuta kama vile comforter wang hata yeye pia ikawa ni hivyo. Kumbe Sasa yeye mwenzang ana kauzoef wa kuwa' close sana na Mwanaume
Siku moja nikapat bahati nilipost kitu akacomment ile comment yake ikanipa a Starting point ndio nikaunga humo humo nikamueleza "Bwana Mimi nimesha anza kujifeel tofauti juu yako ni kama wiki sasa hii ishu inakua very strong na brah brah brah kibaaao pale lkn hayo yote si kwmba nakutaka uwe wang lkn tu I can't hold it no more kwann nijivunge niumie "
So ikawa mwisho wa huo ukaribu, kila mtu akala hamsini zake. Jap tunaonana WhatsApp
Hiyo namba tatu ninaishi nayo sana. Kuna mademu zangu wa zamani kama watatu nimebaki na urafiki nao na hatujawahi kukumbushia hata siku moja.Urafik kati ya mwananke na mwanaume upo tena huwa mzur sana tena sana tu. Mm nimewah kuwa na marafk kadhaa wa wanawake, kwa kwel huwa ni urafk mzur sana. URAFIKI WA MWANAUME NA MWANAMKE upo wa aina tatu Ngoja nianze kuelezea
1. URAFIKIKI AMBAO HUJA AUTOMATICALLY, yaan hakuna hisia za mapenz kati ya ke na me
Urafk huu huwa mzur sana tena sana. Nimewah kuwa na marafk kadhaa wa kike, ikifka stage akakuamini bas huwa urafk strong sana kuliko huu urafk wetu sisi kwa sisi. Mtasaidiana mambo mengi mno hasa ya kimaendeleo. Urafk huu huwa mzur sana. Uzur wa urafk huu wanawake wana tabia ya kuwaamin sana wanaume kuliko wanawake wenzao. Wao huamin kuwa akigombana na mwanamke mwenzie kinachofuata bas huwa ni kuvujishiana siri. Ila kwa wanaume huwa tofaut sana. Urafk huu huwa ni kuambiana ukwel zaid. Mfano unaweza kuwa una mshikaji wako, wa mwanume mwenzako, then ukawa na una madem hata watano lakin mwanaume mwenzio ni ngumu sana kukushaur kuhusu kupunguza hizo mambo. But akiwa mwanamke anaconfidence sijui huwa inatoka wap kwao anakushaur vizur kuwa fulan hii sio poa hebu punguza. Hata ww mwanume ukiona mwanamke Ana mambo hayaelewek na ni rafk yako unamwambia na wala huwa hawajisikii vibaya kabisa. Ngoja nitoe mfano mm kuna mdada ni rfk yang sana na ameolewa, kulitokea changamoto katika ndoa yao mpka mwanamke akawa anawaza atafute mchepuko ili ajiliwaze. So akaja kwang kuniomba ushaur, nilimshauri hicho anachotaka kukifanya ni kitu hatar zaid mumewe akija kujua ajue itakuwa changamoto kubwa sana kweny ndoa yake na alinisiki.
2. URAFIK AMBAO HUJA BAADA YA KUMTONGOZA MWANAMKE, then akakutaa. Huu urafk huja umemtaka demu then akakujibu kistaarabu tuu, Brother haiwezekan ila kama utapenda tuwe marafk tuu. Hapa pia wanaume wengi huwa wanashindwa sana. Anaweza akakubal wakawa marafk ila kila wakat akawa anaomba mbususu. Huu urafk huwa haudumu sana but ikitokea tuu mwanaume akakubal kuwa rafk na mwanamke nayo huwa iko pouwa sana. Ngoja niwaambie kitu kama mwanaume una rafk wa kawaida wa mwanamke then siku ukapata shida ndo utajua umuhim wao kuliko marafk zetu wa kiume kipind cha shida wao husepa kabisaa. But hawa huwa wapo na ww muda wote.
3.URAFIKI AMBAO HUJA BAADA YA KUWEPO KWENU KWA MAHUSIAONO THEN MKAJA KUACHANA, mkaamua kuwa marafk wa kawaida tu! . Urafk huu huwa una mambo mawili either mtakuwa mkipata hamu mnakulana or mkawa marafk tuu labda kwa sababu kadhaa ambazo zitawafanya msifike huko. Huu urafk huwa haudumu kabisaa.
Urafk wa mwanamke na mwanaume upo sana tuu kwa sababu pia huwa hauna unafk, hauna wivu wa maendeleo yaan uko pouwa sana. Jarib siku mtaleta mrejesho humu
Huna ukaribu nao.Urafiki upo bhana...mbona mie ninao,tena hawajawahi hata kunitaka
Haters watasema mie pisi mbovu....kwa taarifa yenu sina ubovu wowote dadeq!
Ila habari ndio hiyo,marafiki wa kiume ninao na tunaheshimiana kinyama
Najitolea kuwa rafiki yako kwa niaba ya wana ume wote na ahidi sita kuomba puchuchu ila na wewe usije niomba chochote, tutakuwa tuna peana ushauri tuu, KARIBU PMMpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani
Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…
Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka
Kuna wengine wastaharabu ukiwakataa basi hana shida ila wengine wanachukia mpk wanafuta na namba wananuna kabisaa
Nyie wanaume mnatupa ugumu sisi ambao tunatamani muwe marafiki zetu… unaponitongoza unaniondolea ile confidence ya kuwasiliana na wewe
Wakati mwingine sisi wadada huwa tuna matatizo ambayo unaogopa kumwambia mwanamke mwenzio kwasababu wengi wa wanawake hawanaga siri so tunatakaga urafiki hata wa kupeana ushaurii
Hivi ni kweli urafi wa mwanamke na mwanaume hauwezekani [emoji854][emoji854]
Hii ni kweli kabisa mkuuTatizo la wanawake wengi,
Utumia urafiki Kama Chaka la kudanga,
Anakufanya rafiki ili akutumie kiuchumi
🤗🤗🤗🤗sawaaSikuiona hii comment mchana😂😂😂😂...mkuu tuachee tafadhali 😃
Pisi mpaka inaamua kuja huku jf sirini kwenye mada nzito nzito unatakiwa ujiulize sana ...Sure thing, pisi ziko zao insta uko na snapchat, Jf hawaijui kbs [emoji3]
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app