FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Wanaune mashoga ndio naona wana urafiki na wanawake ili wawatongozee madomo zege.Mimi nina rafiki yangu wa kike tumeshibana sana. Tunasaidia kwa mengi. Hata nikiwa nahitaji pesa kama anayo ananipa sio kunikopesha. Nami pia.
Mume wake anafahamu urafiki wetu hana noma. Urafiki upo