G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,397
- 5,562
Kama unalipa natembeza Konga tu kwani kitu gani😀!Nyie mtakuwa mnauzungu ila hawa wa Samia hawajui hilo watakubembeleza halafu wakukulee
Urafiki utaendelea mbele kwa mbele. Siwezi kuteseka wakati nakutamani. Kama hutaki nakukacha tu kimya kimya ila mara kibao huwa wanarudi kunipa.