Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

Ila kuna ukweli.
Yaani mimi hata marafiki zangu wa kiume wa jf wanataka pussy[emoji23][emoji23][emoji23]. Huko duniani ndio kabisaa sina marafiki wa kiume maana ukizoeana nao tu wanaanza mambo ya “ila shemeji anafaidi” . Nikishasikia hiyo kauli huwa sitaki tena urafiki nakimbia.
 
Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..

Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae

So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]
Hakika uyo jamaa ni malaika [emoji16][emoji16], tupo wachache sana hapa dunian [emoji16][emoji16]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna ukweli.
Yaani mimi hata marafiki zangu wa kiume wa jf wanataka pussy[emoji23][emoji23][emoji23]. Huko duniani ndio kabisaa sina marafiki wa kiume maana ukizoeana nao tu wanaanza mambo ya “ila shemeji anafaidi” . Nikishasikia hiyo kauli huwa sitaki tena urafiki nakimbia.
[emoji23]
 
Mi pia nasadiki hakuna urafiki wa kweli Kati ya mwanaume na mwanamke sababu ni kwamba ukiwa na rafiki was like halafu akabahatika kutajirika ni ngumu kukutoa kimaisha ila Kama ulikula utelezi wengi hufikilia like penzi tofauti na rafiki mwanaume mwenzako yeye anakutoa tu kama jamaa ako Hilo ndilo linalofanya Mimi kukosa rafiki was kike
 
Back
Top Bottom