Yani[emoji848][emoji848]...ila naomba Mungu tusije tukaishia hivyo na Sisi [emoji23][emoji119]
Why would anyone hate such a beautiful woman kama wewe[emoji23],watu wana dhambi !!!!Ndio
Haters mnakuwaga mstari wa mbele kuspeak negative sh!t [emoji3]
Huyo wa mizinga huyo sasa anazingua😃Mtu rafiki ila anakupasua mizinga na favours zisizoisha...Hapo ndo wanawake mnapofeli
Jamani😥😥🤨Labda muwe wazungu au mmoja awe gay [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sipendi ilo neno ulilo niita
Na ukimnyima sasa atakavyokutangaza😂😂😂🤦♀️
Shindwa pepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3166]
Unashindwa vipi kuwa nae kimahusiano kama mnaelewana kiasi hicho alafu baadae mnalalamika wanaume hawaeleweki wakati unapata nafasi kama hiyoNdo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..
Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae
So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi☺️☺️
Mtu rafiki ila anakupasua mizinga na favours zisizoisha...Hapo ndo wanawake mnapofeli
Why would anyone hate such a beautiful woman kama wewe[emoji23],watu wana dhambi !!!!
Jamani[emoji26][emoji26][emoji2955]
Huko kwenye miji ya watu mkuumnawatoaga wapi😅
😂😂😂😂Itika sio baadae mnaanza sumbua manabii na mafuta ya upako bwana.
Sawa ila end point nyingine zaidi ya kuza ni ipi? Kama ni outing tuli shawahi kuenda wote sehemu mbili siku nzima, japo tuli kua hatujapata majukumu yoyote tulikua chuo, sijui tufanye nini kuacha arama ya kudumu,kwasbb sijawahi kupata rafiki wa kike kama yule sio msahili wasio kua na haya dini zetu ni tofauti kabisa RC na Muislamu ila nikama hazipo kabisa, she loves me i love her deeply ila never ever thought abt sex or kissing more than 20yr now loh!Tafuta aina nyingine ya end point,, hiyo itaharibu kila kitu mkuu...wanawake hatuko rahisi hivyo,, atafuta memories zote hizo ndani ya siku moja na hutaamini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Urafiki upo. Mimi nina marafiki zangu wa kike siri zao zangu zangu zao.
Ninae mmoja huyo hanitafutagi😃, Utaona tu wiki hiyo anakuchangamkia balaa halafu anakuja kukuomba hela, ukimnyima utaona hadi WhatsApp status anaweka kuna watu wako busy for nothing na nini nini , nachekaga🤣🤣🤣🤣🤣🙌Mie simpi asee 😀
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]